seamlessly
Member
- Jun 5, 2013
- 38
- 10
Zitto anaishi ktk mateso makubwa sana sasa hivi. Ana mapepo 3. 1. Pepo la umaarufu wa vyombo vya habari, 2. Pepo la kuongoza CDM kwa maelekezo ya CCM na 3. Pepo la uongo, fitina na uchimvi. Mapepo haya wakati huu hayapati mahitaji yake kwa muda na kiwango yanayotaka, yanamtesa!...bado zito,nae ataenda tu...