Recent content by Sarya

  1. Sarya

    JamiiForums Tanzania Shilingi elfu 7800 inatosha

    Samahani lakini, hivi nauli ya kwenda Mkuranga kutoka Dar bei gani?
  2. Sarya

    JamiiForums Tanzania Pole mwenyekiti kukamatwa kwa ndege ni mwanzo tu bado suala la Kabendera

    Mhhhhh! Una ujasiri aisee...
  3. Sarya

    JamiiForums Tanzania Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    Nashangaa na mimi! Kweli kama amekubali kufunga safari koote, then anajuja kunisemea hapa?? Sijapenda hata kidogo...[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
  4. Sarya

    JamiiForums Tanzania Nimeingia cha kike kwa mtoto wa Diwani

    Pole kamanda! Ila uchakataji huambatana na kuongeza thamani, bila shaka hiyo ndo ongezeko la thamani
  5. Sarya

    JamiiForums Tanzania Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

    Tena ukibeba wewe utakuwa wale wanapenda kula majivu...🤣[emoji23]🤣[emoji23]
  6. Sarya

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wadada Waliokeketwa

    Removal of, or damage to highly sensitive genital tissue, especially the clitoris, may affect sexual sensitivity and lead to sexual problems, such as decreased sexual desire and pleasure, pain during sex, difficulty during penetration, decreased lubrication during intercourse, reduced frequency...
  7. Sarya

    JamiiForums Tanzania Dada ukitaka mchumba usijifungie ndani toka out sometimes

    You can have pdf copy of that to read. I hp one can get something out of that
  8. Sarya

    JamiiForums Tanzania Nashurutishwa kupita mlango wa uwani

    [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
  9. Sarya

    JamiiForums Tanzania Jeneral Ulimwengu: Huu ni utawala wa milipuko! Wafanyakazi wanafanya kazi kwa uoga

    Tunaweza kuongea maneno meeeengi, lakini ili tuwe na suluhu ya kudumu tunahitaji STRONG INSTITUTIONS ambazo uendeshaji wake hauhitaji favour ya mtu mmoja moja (culture of impunities). Tunaweza kufika hapo tu pindi rasimu ya Jaji Warioba/Katiba ya wananchi itakapo asisiwa tofauti na hapo...
  10. Sarya

    JamiiForums Tanzania Jeneral Ulimwengu: Huu ni utawala wa milipuko! Wafanyakazi wanafanya kazi kwa uoga

    Wakati mwingine huwa natafakari kuwa "hapa kazi tu" ni kauli mbiu iliyobeba maono gani? Nawaza tu kwa sauti.... Afadhali hata ile ya JK "maisha bora kwa kila mtanzania", hii walau ina maono flani na nini kinatakiwa kuwa accomplished hata kama hatukuona hayo maisha bora. Eti hapa kazi...
  11. Sarya

    JamiiForums Tanzania Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

    .......Mi nina mwaka na nusu na kote huko nimevuruga hakuna kitu, nilikaa saana Sahare na sahivi nipo katikati ya Jiji. Tanga labda ilikuwa enzi hizo!
  12. Sarya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto alalamikia Jaji Mkuu wa Kenya Kuvaa Hereni

    Hili swala la hereni hata mi nilikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa kinyume kabisa lakini nikaja kufanya uchunguzi na kugundua kuwa makabila mengi ya kiafrika wanaume kwa wanawake tulikuwa tunavaa hereni kabla na hata baada ya ukoloni. Hata shanga za kiunoni zinavaliwa na wanawake na wanaume...
  13. Sarya

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki wamtaka Rais Magufuli kutumia busara

    "Rais sio Father Chrismas wa Kugawa Zawadi kila anapopita tena akitumia fedha za umma" - Ben Saanane
  14. Sarya

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Duhhh, long time saana nilimaliza hapo form 4, '95 nikiwa mkazi wa bweni la Hanan'g
  15. Sarya

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli CCM ndo wamekubali kushindwa?

    Ni wazi kuwa kuna hofu kuu imetanda ndani ya CCM, juzi jumapili nilikuwa Korogwe kwa mzee mmoja kiongozi wa CCM Wilaya ktk nafasi nyeti. Hakuwa ananifahamu mimi na mi nilkwenda kikazi kwaajili ya kutumia jengo lake mmojawapo kwaajili ya kufungua ofisi yetu hapo. Kwakweli amesikitika sana kwa...
Back
Top Bottom