kwa kweli unyamwezini ni balaaa
haki ya nani,hadi leo hua siisahau show ya mnyamwez wa tabora
NILIJIKUTA NIMEKUA BUBU GHAFLA NDANI YA MASAA KADHAAA baada ya mechi,nikiulizwa viswali,hata majibu nilikua sina,sijui nilikua sayari gan ile
ntarudi tena tabora kuwasalimia watoto wa kinyamwezi