the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 834
- 1,102
Mabaharia imepitishwa hiyoooooo?π
π
π
π
π
π
π
π
π
π
π
Jamaa alipiga 1 tu?kwamba round 1 ni 7800......
![]()
Siyo kweli uliyoyaandika, rudi shule. Kwani ukiweka TShs. 7,800/- benki, unaiandikaje kwa maneno bila kuweka neno elfu?Elfu 7800 na Shs 7,800 ni vitu viwili tofauti.
Elfu 7800 ni sawa na Shs 7 800 000 au million 7 na laki 8
Tofautisha kuandika kwa maneno na tarakimu.Siyo kweli uliyoyaandika, rudi shule. Kwani ukiweka TShs. 7,800/- benki, unaiandikaje kwa maneno bila kuweka neno elfu?
Hapana, mkuu unajichanganya tu. Maelezo yako siyo sahihi kabisa nimeyakataa.Tofautisha kuandika kwa maneno na tarakimu.
Ukichanganya ni habari nyingine.
Ukiweka Shs 7,800 kwa maneno unaandika elfu saba mia nane.
Ukiandika elfu 7800 maana take una shs elfu moja moja ambazo idadi yake ni 7800. Sasa 1000 x 7800 =??
Shs elfu kumi utaindikaje?Hapana, mkuu unajichanganya tu. Maelezo yako siyo sahihi kabisa nimeyakataa.
Hapa kuna exceptions, kuandika elfu 10, au elfu 11, elfu 12, elfu 13, ... ni sawa hizo zeros unazi-ignore lakini ikishakuwa mfano 10,300, ni sahihi kabisa kuandika elfu 10,300 (elfu kumi na mia tatu)Shs elfu kumi utaindikaje?
1. Elfu 10
2. Elfu 10,000
Ni moja au mbili?
Exceptions?Hapa kuna exceptions, kuandika elfu 10, au elfu 11, elfu 12, elfu 13, ... ni sawa hizo zeros unazi-ignore lakini ikishakuwa mfano 10,300, ni sahihi kabisa kuandika elfu 10,300 (elfu kumi na mia tatu)
Kwa ufupi ni hivi, siyo sahihi kusema eti elfu A,BCD lazima iwe 1000ΓA,BCD. Hiyo elfu (1000) inabidi izidishwe na namba kabla ya mkato tu siyo namba zote, usichanganywe na kuwekwa kwa hilo neno elfu nyuma ya namba zote. Kingereza ndiyo kinaelezea/kinaeleweka vizuri zaidi. Mfano elfu 10,300 (elfu kumi na mia tatu) inaandikwa ten thousand and three hundred.
Hapa hapa kimanzi centre,ukifika unawaambia bodaboda nipelekeni kwenye kijoti 2000 wanakupeleka chap,naulli buku tu,unachagua,jezi/condom wanazo,vyumba vyao,
Shilingi 2500 tuSamahani lakini, hivi nauli ya kwenda Mkuranga kutoka Dar bei gani?