Recent content by saratoga1285

  1. S

    Kuhamisha files kutoka kwenye simu kwenda kwenye PC

    Shukrani sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Kuhamisha files kutoka kwenye simu kwenda kwenye PC

    Kwa kutumia USB CABLE Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Kuhamisha files kutoka kwenye simu kwenda kwenye PC

    Naomba msaada jamani, maana nlikuwa naweza kuhamisha files kutoka kwenye simu yangu (Techno boom J8) kwenda kwenye PC lakini nikifanya hivyo sasa inagoma,lakini nikiweka simu aina nyingine inakubali kuhamisha files. Msaada wenu muhimu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba yeyote ambaye yupo kwenye lile group la kubeti la WhatsApp aniunge 0658283200 Post sent using JamiiForums mobile app
  5. S

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Diploma ya veterinary tengeruu ipo clear sana kwake aombe atapata fasta kwa huo ufaulu Post sent using JamiiForums mobile app
  6. S

    Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Jibu zuri @Ramea,pia hakikisha dume moja likipanda Mara mbili uza au chinja maana yake wanatakiwa wasije kupandana damu moja,maana ikiwa wamepandana koo moja lazima kaugonjwa kakiwapitia either kutokana na bacteria au viruses lazima watakufa karibu wote
  7. S

    Badala ya sh 40 napendekeza sh 2 kwa lita

    Na hii ni kwa siku moja je siku 30 kama wadau walivyosema kwa utendaji wa magari,sasa zidisha hiyo Mara miezi 12
  8. S

    Badala ya sh 40 napendekeza sh 2 kwa lita

    Haya na wewe zidisha hiyo 1,620,000/= X 30 ni 48,600,000/= . Haya sasa linganisha
  9. S

    Vyuo vya mifugo

    Naomba msaada kwa mwenye mawasiliano chuo cha mifugo Tengeru,nampago Mdogo wangu nimpeleke huko maana anapenda na amepata c-chemistry,c-biology,c-math,na c-geog amechaguliwa EGM Mwenge sekondari
  10. S

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante kwa taarifa,maana taarifa ni nguvu. Naendelea kuufuatilia Uzi huu kwa ukaribu sana
  11. S

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ni perfume gani ambayo siyo Kali kwa harufu kwa mtu mwenye allege ya harufu Kali kwa bajeti ya 50,000/=
  12. S

    Series (Special thread)

    site gani nitumie ili kuweza kudownload series kwa urahisi.
  13. S

    Series (Special thread)

    nataka kudownload series naomba unipe muongozo ni site gani naweza tumia kudownload.msaada please
  14. S

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Acha kudanganya watu kuwa bajeti ya ulinzi ya USA ni sawa na combination ya nchi ulizozitaja.Inaoonyesha wewe ni USA extremist.
Back
Top Bottom