*backMfano mzuri ni katika maadhimishi ya kitaifa.cdf ndio anakuwa na rais nyakati zote.igp anakaa bank bencher
*backMfano mzuri ni katika maadhimishi ya kitaifa.cdf ndio anakuwa na rais nyakati zote.igp anakaa bank bencher
Ukishasema Vita hyo unakuwa umeingia kwenye killing zone na watu ambao wamekuwa trained kwenye vita, uokozi, uvamizi na kuua ( Aggressive training ) ni wanajeshi so yeyote atakae ingia huko atapokea order kutoka jeshini tuUmeelezea vizuri sana .vp sasa inapotokea vita polisi hawaendi vitani? Kama wanaenda nani anakua analink kati ya polisi na jeshi ili waelewane kwenye mbinu,wakiwa vitani wanapata order kutoka kwa kiongozi yupi
Inakera sana hii kitu.Siasa za kutia kinyaa.Mwisho wa Siku wote wanawapigia salute wanasiasa, akiwamo mkuu wa Mkoa.
Mikono yako iwe na breki katika typingPia JWTZ ndo jeshi letu la wananchi ila polisi sio jeshi ni RAIA WAKAKAMAVU TU ndo maana hawajui hata kumkamata raia asie na silaha wao ni kupiga tu sasa sio jeshi lile ni kama jambazi au mwizi wa alieruhusiwa kuumiza raia
Pia mafunzo yao miezi 6 tu wakati jeshi ni zaid ya miaka huwezi walinganisha ni kifo na usingizi
Nenda lugalo utapata jibuJamani Naomba mnisaidie kati ya Mkuu Wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania kwa sasa generali Mabeyo na Mkuu wa polisi nchini kwa sasa IGP Mangu ni nani mkubwa kumzidi mwenzake kikazi?
Kwani sheria ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa taifa ilitungwa lini?Una ya mwaka gani ambayo imeamendi hii?
Hatuko huko unakowaza wewe.Hapo jipu sahihi ni kila mtu ni kubwa upande wake na kitu kingine watu wengi hawakifahamu kwa Mkuu Wa majeshi haina maana ni majeshi yote kama polisi na magereza hapana unaposema Mkuu wa majeshi ina maana jeshi la ulinzi linamajeshi matatu ambayo jeshi la nchi kavu, linakuja jeshi la anga na mwisho jeshi la majini hivyo boss wao ni mkuu majeshi!
Acha uongo???!!Ukishasema Vita hyo unakuwa umeingia kwenye killing zone na watu ambao wamekuwa trained kwenye vita, uokozi, uvamizi na kuua ( Aggressive training ) ni wanajeshi so yeyote atakae ingia huko atapokea order kutoka jeshini tu
Lakini ndani ya internal security au safety zone watu ambao wamekuwa trained kwenye kudeal na Usalama wa raia na mali zao (safety zone) ni Police so hata kama kukatokea tukio ambalo linahusisha vyombo vingine nje ya Police na likawa linahusu raia na mali zao na nchi ikiwa si kwenye emergency situation hapo in charge ni Police so hata wanajeshi wakishiriki kwenye mission hyo mtoa order ni Police
Jeshi letu lina majeshi matatu ndani yake yaani jeshi la nchi kavu, maji na anga, kila jeshi lina mkuu wake kwahiyo CDF ndiye mkuu wa majeshi hayo matatu. Rais ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi(majeshi)na usalama(Tiss, police, prison, immigration).Kwani wanaposema Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama wanamaanisha ni majeshi gani? Jeshi la ulinzi ni lipi na la usalama ni lipi?
Hatuko huko unakowaza wewe.
Tunazungumzia seniority
Ngoja nikupe mfano, wakati gwaride linapopita mbele ya rais jeshi linaloanza kupita ni jwtz(kamandi zake zote na jkt) then polisi then magereza, huo mpangilio sio bahati mbaya ni mpangilio unaofuata seniority(Ranking).
Kiprotocal jwtz ni jeshi senior kwa wote, sasa unategemea CDF atalingana na IGP au IGP atamzidi CDF? Its obvious kwamba CDF ni senior kwa IGP.
Kwani ww umekatazwa kusema ukweli ? Wakati mwingine ni vizuri kuficha upumbavu wako kuliko mtu mwingine akiuficha kwa ajili yako. Hivi Leo mfanyakazi wa TICTS akienda kusaidia kazi TPA order kuhusu kazi hyo atakuwa anapokea kutoka TICTS au TPA?Acha uongo???!!
Jamani Naomba mnisaidie kati ya Mkuu Wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania kwa sasa generali Mabeyo na Mkuu wa polisi nchini kwa sasa IGP Mangu ni nani mkubwa kumzidi mwenzake kikazi?
Hawataki kusikia na kuelewa kuwa wao ni raia wakakamavuAFU POLISI SIO JESHI NI RAIA WAKAKAMAVU.
Kwani ukisikia neno Commando unapata taswira gani? mbona ni wanajeshi kama walivyo wanajeshi wengine.Matani ni sehemu ya maisha hasa majeshini na bandarini maana hata Makomandoo nao wanawaona Wanajeshi wengine kama Raia wakakamavu.Marekani nao wanaita majeshi ya Afrika kama Migambo.Hii ni kutokana na Teknolojia kubwa na Vifaa vya kisasa walivyonavyo.
Ukweli unabaki kwamba Mwanajeshi ni nani kulingana na Katiba ya Nchi husika.Kwa Tanzania Katiba inatambua JWTZ,POLISI,MAGEREZA na JKT kama Majeshi yenye majukumu tofauti.