kwa kweli i've enjoyed reading this thread these past few days!
i used to chuna nikitongozwa na washkaji wa mr. but nikajisahau siku moja wakati tumekaa kwenye stuli ndefu namsindikiza mr na visavanna vyangu, si nikamwambia mshkaji live, 'he, we mbona unanikonyeza tena karibu kila siku?!?!'...