Recent content by SANDIA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Halafu njia nyingine jamaa anakupigia. Halafu anakuwa very smart, hana haraka. Anakupigia anakwambia yeye ni wakala wako mkuu. Kuna pesa wamekutumia hebu angalia salio. Kwanza anakwambia umtajie namba yako nyingine akupigie huko ili simu yenye line ya wakala iwe free. Ukishamtajia namba Zako...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Hii pia imemtokea Dada yangu last week. Sema ni hela mbuzi. Siku ya kwanza wamechukua thirty, na ndo ulikuwa hiyo hiyo kwa tigopesa yake. Kesho yake wakampiga tena 15 baada ya kuweka hiyo hiyo 15. Halafu text ya tigopesa ikaingia umetuma pesa kwenda namba XXX. Kuwapigia tigo wakajibu eti hii...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chemical: Mimi ni msichana nataka kubembelezwa

    Ulikutana na kitu ya Matejoo [emoji23] [emoji23]
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike unakomalia nichkue kilo mbili ya mdudu na ndiz juu,duuh

    Nipe namba yake mkuu, kizuri kula na nduguzo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Mbona kama vile ya Serena Hotels[emoji2] [emoji2]
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniongezea muda Wa kuishi duniani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Deity is god , not God. Mungu tunaemwabudu haitwi "mungu" anaitwa "Mungu".....hata ukiangalia kwny kamusi yoyote hukuti wametafsiri neno Deity kama Mungu, ni mungu. Labda hiyo kamusi iwe ni ya anti-christ
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nisikilize kwa makini

    Mke Wangu, password ya fb na patterns za cm ntakazokupa Leo sizo ntakazotumia next week. Jiandae kwa hilo mke wangu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Abdallah: Naamka kwenye kifusi, naenda shuleni

    Na hiyo bendera ya ccm hapo kwwnye picha inafanya nini?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Na usiombe upange nyumba ambayo haina ceiling board. Usiku watu hawalali. Nadhani nimeeleweka
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Zile za MSD zikogo mingi aisee, zaidi ya tatu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii shida ya usafiri mjini Dar itakwisha lini?

    Una akili mingi sana mkuu, kama vile kiumbe alien.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    24/7 tupo JF , kazi zinazotupatia kipande tunafanya sangapi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    mapema sana uwah buchan ili upate nyama nzuri
Back
Top Bottom