Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
So sad
Hiyo Hifadhi wangepewa wapi mkuu!? Serena Hotel?Ni kweli walikosea kujenga sehemu isiyo rasmi,
Lkn wangewapa hifadhi ht ya miezi kadhaa ili wajipange upya.
Wapelekwe kigoma kwenye kambi za wakimbiz maana washakuwa wakimbiz kwenye nchi yaoHiyo Hifadhi wangepewa wapi mkuu!? Serena Hotel?
Basi sawa mkuu. Serikali italiangalia hilo Kama kuna uwezekano na nafasi huko.Wapelekwe kigoma kwenye kambi za wakimbiz maana washakuwa wakimbiz kwenye nchi yao
Tunatumia picha kutafuta huruma. Vipi zikiwekwa picha huyo mtoto yuko juu ya paa la nyumba kutokana na mafuriko? Kweli watz ni wepesi kusahau kuliko kiumbe yeyote ulimwenguni
Jamani! Naomba wa jf tumsaidie huyu dogo. Tutabarikiwa sana tuungane watupe namba ya akaunt/simu halafu ianzishwe special thread yake tutupie humo chochote. Waliopo tayari tafadhari, mm nipo tayari.
Ni kweli walikosea kujenga sehemu isiyo rasmi,
Lkn wangewapa hifadhi ht ya miezi kadhaa ili wajipange upya.
Hapo pagumu...!Viwanja walishapewa, na mabati na cement,
Wakauza vyote wakarudi kwao,
Na walisema hawahamii ng'ooooo
Tunapenda tu kulaaani pasipo kufikiri kwa kina wala kutoa haki, laana ya namna hii itamrudia hoyo anayelaani. ivi kuna mtu aliyekuwepo Dsm miaka ya themanini alikuwa hafahamu kuwa yale maeneo ya mkwajuni, Jangwani, Kigogo na Msimbazi yalikuwa hayaruhusiwi kujengwa na hakukuwa na nyumba badala yake watu wakakimbilia mbezi na kimara kujenga? Waliokuwepo DSM hawkuona kama Jangwani, Azania na Muhimbili ndio ilikuwa mwisho wa majengo na maeneo ya kinondoni mpaka ulikuwa viwanja vilivyopimwa? Hakuna haki katika unafiki,hakuna haki katika uongo. Watu walifahamu, watu walishaambiwana watu mpaka leo wanazidi kununua na kujenga mabondeni huku wakisema 'mpaka waje huku? itakuwa lini hiyo? Ukipanga na kuchagua kujenga bondeni au katika eneo la wazi basi umemchagulia mwanao kuwa kama Abdallah siku moja, ombea uwe hai,ukiwa umeshatangulia mbele za haki utakuwa umemletea unyonge na utawapa watu nafasi ya kumdhalilisha kama walivyofanya hawa kumpiga picha na kumfanyia biashara pasipo kumpa msaada wowote, bila kujali maadili ya uandishi wa habari.bila kujali watoto wenzake watalipokeaje hili shuleni anaposomea. Mwenyezi Mungu atuepushe na ufinyu wa fikraWallah watalaanika hawa na damu zitawaangamiza