Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,194
Una akili mingi sana mkuu, kama vile kiumbe alien.Haiwezi kwisha mpaka zoezi la serikali kuhamia Dodoma litekelezwe.Baba Wa Taifa alitaka kuufanya mji Wa Dodoma uwe Wa shughuli za serikali Na Jiji la Dar liwe la biashara .Nchi kama Nigeria zimefanya hivyo Na Afrika ya kusini.Badala ya watu wote kuja Dar ,wale wenye masuala ya serikali wanaenda Dodoma Na wale Wa biashara Dar.Pia wale wanaofanya biashara Na serikali wataifuata Dodoma hapo msongamano Wa magari Na watu utapungua baadhi ya watu watahamia Dodoma Na magari yao.
View attachment 316957
Bahati yake huyo mwanamama alivaa suruwali.
Mwananchi
Msamaria mwema akimsaidia mwanamama kwa kumwingiza kwenye gari la Gongolamboto kupitia dirishani kama walivyokutwa na mpigapicha wetu kwenye kituo cha daladala cha Ubungo, jijini Dar es Salaam juzi jioni. Picha na Silvan Kiwale
HAPA KAZI TU....