Recent content by Sanchor

  1. Sanchor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mozeeee
  2. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Sidhani kama konyagi inatengenezwa kwa kutumia kinyesi na vyuma vyenye kutu. Tatizo ni mari ghafi za kutengeneza hiyo gongo. Wanywaji wanapenda gongo concentrate ambayo ni hatari inaweza pofua macho.
  3. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Siasa na Uwendawazimu Jf

    Nkiwa ningali mdogo nlipenda siasa sana kiasi kwamba nliapa nikiwa mkubwa lazima niwe mwanasiasa. Labda hii ilitokana na babu yangu ambae alikua mmoja wa wanasiasa wakongwe (jina linahifadhiwa msije mkaniuliza picha) kupitia chama tawala na amefanya kazi kubwa ya kujenga nchi hii kabla ya kuamua...
  4. Sanchor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie na series unazozipenda

    Trust me gamr of thrones na kali ile mbaya.
  5. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ziarani: Desemba 7, Kasulu Vijijni (Kitanga, Kigadye na Kwaga)

    Una akili kweli wewe? :confused:
  6. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Marufuku kuja na mabango kwenye mikutano yangu.

    Zitto ni kisiki cha mpingo. Babu kasanda. Hawamuwezi dogo na wala haondoko ng'ooo
  7. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Dr.Slaa na Mbowe ni kumjenga Zitto Z. Kabwe na si vinginevyo

    Baada ya siku 14 nina uhakika Zitto hatofukuzwa. Zitto ni kama Lowasa Chadema. Hafukuzwi mtu na 2015 ndo mgombea wa Urais kupitia chadema na Lowasa ccm. Siasa bhana, zinanipa raha sana. Ps: ntarudia tena hili tamko bada ya baraza kuu kutoa maamuzi
  8. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    Inaonekana elimu yako ya biashara ni ndogo sana. Ana faida kubwa sana anapoanzisha biashara nyingi sababu anapunguza risk
  9. Sanchor

    JamiiForums Tanzania Kumetokea nini barabara ya Dar - Chalinze? magari hayaendi masaa mawili sasa

    Magari ni mengi sana. Kuna graduation za vyuo Morogoro.
Back
Top Bottom