Dkt. Slaa: Marufuku kuja na mabango kwenye mikutano yangu.

Mzee bado hujamaliza kazi yako?Tutaona nani atakayeshinda vita hii.Msaliti Mkubwa!

Umeharibu ndoto za vijana wengi,this is your turn.Nilikuambia utashindwa miserably!Traitor!

You're done politically!
You are just yawning for nothing.

You are nothing until wake up and smell the coffee.
 
“sasa unaachaje kumsikiliza huyu na ukamsikiliza zaidi mtu ambaye hana sifa za kimageuzi katika ngazi ya kitaifa? Wanaozua tuhuma dhidi ya wenzao hawana hata miaka mitano ndani ya chama?
“labda nikupe mfano mzuri. Hivi unategemea leo, ccm kwa mfano, eti akina richard tambwe hizza, waanzishe mkakati wa kumng’oa kwenye chama mtu kama kingunge ngombale mwiru kwa madai ni msaliti? Haya mambo yako chadema tu,” alisema mwanasiasa huyo

watu wanamwona zitto ameshika nyundo kubwa kama ile ya kupasua mawe anabomoa nyumba wakati wengine wako busy wanapanga matofali!ambao hawaoni wanafikiria kwa kutumia kiungo gani?nahisi mbinu alizokuwa anatumia kukiangamiza cdm zinaratibiwa na kikundi "maalum" na pengine uwt.lazima kuna nguvu kubwa sana na inayojiamini nyuma yake.
 
Hatuwezi kujadili hoja iliyoletwa na shetani bila kujali usafi wake na hila zake.Mshirikina mkubwa! Njoo na ID yako halisi tukionyeshe cha moto.Coward!
Jadili hoja, grow up and try to act like Great Thinker even though still clownish.

You can't find space for personality in the world of Great Thinker otherwise, you must be flat minded and completeley out of touch.

Move away from our quiet political pace. It's more advantageous to stick where you belong as champion of gutter politics.

Keep on having daydream. We are here to stay as ussual.
 
Hatuwezi kujadili hoja iliyoletwa na shetani bila kujali usafi wake na hila zake.Mshirikina mkubwa! Njoo na ID yako halisi tukionyeshe cha moto.Coward!

Kamanda Mbona umekuwa mkali hivyo kapate funda 3 za maji halafu ndio uje.
 
PM aliposema wapigwe alisimama nakusema sio Demokrasia. Leo katoa kibali vijana wafungwe. Angekua Rais hao vijana wangekua ktk hali gani?
 
Jadili hoja, grow up and try to act like Great Thinker even though still clownish.

You can't find space for personality in the world of Great Thinker otherwise, you must be flat minded and completeley out of touch.

Move away from our quiet political pace. It's more advantageous to stick where you belong as champion of gutter politics.

Keep on having daydream. We are here to stay as ussual.

Huo u'great thinker uliyoonyesha wewe Uko wapi mahali hapa?
 
PM aliposema wapigwe alisimama nakusema sio Demokrasia. Leo katoa kibali vijana wafungwe. Angekua Rais hao vijana wangekua ktk hali gani?

ficha ujinga wako... Upandikizi wenu mnaouleta UTAWAHARIBIA nchi pasipo na sababu yoyote. Huo ni Ufuka.
 
Mzee bado hujamaliza kazi yako?Tutaona nani atakayeshinda vita hii.Msaliti Mkubwa!

Umeharibu ndoto za vijana wengi,this is your turn.Nilikuambia utashindwa miserably!Traitor!

You're done politically!

Ni kweli mnapeleka watu polisi sababu ya mabango???!!!!!
 
watu wanamwona zitto ameshika nyundo kubwa kama ile ya kupasua mawe anabomoa nyumba wakati wengine wako busy wanapanga matofali!ambao hawaoni wanafikiria kwa kutumia kiungo gani?nahisi mbinu alizokuwa anatumia kukiangamiza cdm zinaratibiwa na kikundi "maalum" na pengine uwt.lazima kuna nguvu kubwa sana na inayojiamini nyuma yake.

Sasa kama ana nguvu kubwa mmejua sasa hivi???!!!!
Unadhani wakati tayari effect inaonekana???!!!
Hesabu hufanywa kwa njia sio hisia,pamoja yawezekana alikuwa na makosa na timing yenu inawa cost sasa!!!!!
 
PM aliposema wapigwe alisimama nakusema sio Demokrasia. Leo katoa kibali vijana wafungwe. Angekua Rais hao vijana wangekua ktk hali gani?
bado anabembeleza urais tayari ameshaanza kutoa amri,''KAMATA WEKA NDANI'', akiupata si atatuuwa kama Nduli Amin alivyowafanya waganda.

Watanzania msije mkarogwa asee,mtajuta kutamani.
 
Nashukuru sana Chadema na hasa Slaa (PhD) kwa kukubali mabango hayo kusomeka .Ujumbe wao ulifika na akafafanua .Swali linakuja , je CCM wanaweza kuruhusu hayo yamtokee Mwenyekiti wao wa Taifa ambaye ni Rais wa Tanzania hata kwa ambao si wana CCM kuonyesha hisia zao ? Hawa wamekuja na hoja za kibaguzi na bado wamesikilizwa je CCM wanaweza kupokea hayo hayo when it is their turn ? Je CCM kuna yeyote anaweza kusimama na mabango mbele ya viongozi wa na kujieleza kwa njia hiyo ?
 
Mikutano gani ya Kikwete watu wanakwenda na mabango ya kumpinga ? Labda ya kumsifia !....
Dr. Slaa si tu hakuwazuia kuna sehemu aliwaita waje mbele ya mkutano ili mabango ayaone vizuri. Hawa wengine walijaribu kuleta vurugu.

Hapo ndio tofauti ya Jk na huyu Mzee,huyu hawezi kuvumilia wenzake,huyu ni dikteta hataki kupingwa kwa lolote,kikwete wanamtukana wanavyotaka,wanaandamana kila Leo Arusha na mabango ya matusi,wanakuja kwenye mikutano yake na mabango,wanamzomea,lakini hatujamsikia akilalama huyu mzee mikutano miwili tu povu limemjaa,
 
Kichwa cha habari mbona kipo tofauti na habari yenyewe ? Sijaona ndani ya habari hiyo mahali alipopiga hayo mabango !. Actually ninachoona hapo kwenye red (kwenye habari hii hii) ni kwamba yeye ndio aliyewataka polisi kutokuwakamata.

Na habari yenyewe hii tunaijua tangu jana, kwamba hawa walikamatwa baada ya kutaka kuleta vurugu, sio kwa sababu ya mabango.

Ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa, imekumbwa na vurugu wilayani Kibondo baada ya vijana kuingilia mkutano wake wa hadhara wakiwa na mabango.
Vurugu hizo zilisababisha vijana 12 kutiwa mbaroni na polisi.

Mabango hayo yalikuwa yakipinga hatua iliyochukuliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema kumsimamisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

Vijana hao wakike na kiume waliingia na mabango katika mkutano huo uliofanyika katika kijiji cha Mabamba jimbo la Muhambwe linaloongozwa na Felix Mkosamali wa NCCR Mageuzi muda mfupi baada ya msafara wa Dk. Slaa kuwasili kijijini hapo.

Vijana hao waliokamatwa na kupandishwa katika gari la polisi PT 1832 na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Kibondo ni Yoli James, Fasha Alex, Mohamed Hamis, Laila Hamis, Nuru Yusuph na Mateso Mkwashu.

Wengine ni Bahati Salum, Shakuru Mahusen, Awadhi Hassan, Muliliye na Bulikoko.
Hii ni mara ya pili kwa vijana kujitokeza na mabango katika mkutano wa Dk. Slaa ambapo juzi ilijitokeza wilaya ya Kakonko na vijana wanne waliingia na mabango yaliyokuwa na ujumbe mbalimbali.

Katika tukio la jana, mabango hayo yalikuwa yameandikwa ujumbe kama "Bila Zitto Chadema ni chama cha wachaga sio makabila mengine", "Tumekuachia chama, Acha ukabila," "Bila Zitto Chadema hamna jipya ni sawa na nyumba bila msingi itashuka muda wowote kuanzia sasa."

Mengine yaliandikwa: "Wewe siyo mwema hutufai", "Tunamtaka mtetezi wetu Mhe. Zitto ndiyo kiongozi bora siyo wewe", "Chadema bila Zitto haiwezekani ila Zitto bila Chadema inawezekana, Acha udini."

Mabango mengine yalikuwa na ujumbe kama "Imedhihirisha kuwa Chadema ni chama cha wachaga siyo makabila mengine na Tumegundua migogoro ya udini imeanzia kwako wewe siyo kiongozi bora hutufai."

Polisi waliokuwa wakilinda mkutano huo walianza kuwaondoa eneo la mkutano lakini Dk. Slaa aliwataka askari hao kuwaacha na kutaka wasogee mbele na mabango yao karibu na meza kuu.

Kutokana na vurugu hizo Dk. Slaa alilazimika kwenda mbele ya jukwaa na kuanza kueleza kuwa mkutano huo upo kwa mujibu wa sheria, aliagiza polisi wawakamate jambo ambalo lilitekelezwa haraka.

Dk. Slaa alimwagiza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kibondo, Clavery Ntidyicha, kufungua kesi dhidi ya vijana hao kwa kufanya vurugu katika mkutano kwa niaba ya chama na kuahidi kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo.

Baadaye akizungumza na wananchi katika mkutano huo, Dk.Slaa alisema tabia ya CCM kupandikiza isifikiri kuwa inawajenga bali watambue kuwa inawabomoa.
Alisema ameagiza polisi vijana hao wachukuliwe hatua kwa sababu ndiyo sheria inavyoelekeza na kwamba kama yupo mtu aliwapa pombe ili wafanye vurugu atahukumiwa mbele ya Mungu.

Dk. Slaa alisema katika maeneo (majimbo) atakayotembelea mkoa wa Kigoma watakaokuja na mabango watapaswa kueleza mabango yameandikwa wapi katika katiba ya Chadema.

Chanzo: Gazeti la Nipashe.
 
Kwanza Dr. Slaa hajasema wafungwe, amesema wakamatwe ambacho ndicho kilichotakiwa kisheria kwa sababu walitaka kuleta vurugu. Swala la kufungwa ni swala la mahakama baada ya kufunguliwa kesi na kusikilizwa.....Pinda alisema wapigwe - hapo hakuna kukamatwa wala kufunguliwa mashtaka - yaani unapigwa tu - ametoa hukumu kama vile yeye ni mahakama.

Hivi huoni tofauti we gamba !

PM aliposema wapigwe alisimama nakusema sio Demokrasia. Leo katoa kibali vijana wafungwe. Angekua Rais hao vijana wangekua ktk hali gani?
 
Back
Top Bottom