Kinachofanywa na Dr.Slaa na Mbowe ni kumjenga Zitto Z. Kabwe na si vinginevyo

O

ommywamvomelo

Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
18
Likes
0
Points
0
O

ommywamvomelo

Member
Joined Nov 17, 2013
18 0 0
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na watanzania wa mwaka 2005/2010.

Hofu yangu ya kumzungumzia zzk kwenye majukwaa ni kumjenga na si kuchafua/kumbomoa zitto kama tunavyo kusudia.

Kitendo hiki kinafanya watu waanze kujiuliza who is zzk mpaka anunukiwe/akihujumu chama?,sasa sikuajiosha/akizipangua hoja hizi atakuwa mtu mashuhuri sana na atakuwa na wafusi wengi sana.

"Hatua hii itakuwa imemjenga zaidi kuliko kuliko kumbomoa".

We need to review this plan.
 
H

Haji Salum

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
1,022
Likes
9
Points
0
H

Haji Salum

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2013
1,022 9 0
Katika mikutano yake huko Kigoma, Dr Slaa hajamzungumzia Zitto hata mara moja. Wewe ni muongo. Hii hoja yako imepwaya!! Labda ujaribu kutunga uongo mwingine tena!!
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,404
Likes
7,469
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,404 7,469 280
Wamevurugwa.
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,654
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,654 35 145
CCM hizi propaganda zenu ni za kitaahira!
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,654
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,654 35 145
Zitto is no longer a threat
 
Buldoza

Buldoza

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Messages
2,304
Likes
94
Points
145
Buldoza

Buldoza

JF-Expert Member
Joined May 2, 2013
2,304 94 145
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na watanzania wa mwaka 2005/2010.
Hofu yangu ya kumzungumzia zzk kwenye majukwaa ni kumjenga na si kuchafua/kumbomoa zitto kama tunavyo kusudia.
Kitendo hiki kinafanya watu waanze kujiuliza who is zzk mpaka anunukiwe/akihujumu chama?,sasa sikuajiosha/akizipangua hoja hizi atakuwa mtu mashuhuri sana na atakuwa na wafusi wengi sana.
"Hatua hii itakuwa imemjenga zaidi kuliko kuliko kumbomoa".

We need to review this plan.
Wanaokusudia kumbomoa Zitto ni nyie. Mbowe na Slaa wanakusudia kuijenge CHADEMA kwa kutetea katiba, bila kujali jina la mtu...
 
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,654
Likes
1,604
Points
280
Ng'wanangwa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,654 1,604 280
the frozen Zitto. haeleweki kama ni kimiminika au yabisi.
 
T

theROOM

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
946
Likes
160
Points
60
T

theROOM

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
946 160 60
Zitto anajengeka kwa maCCM, tena wanamjenga kinafiki. Subiri wakimaliza kumtumia kama watamheshimu tena.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,015
Likes
11,337
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,015 11,337 280
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU
ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA
mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa
NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya
Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE,
Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena
ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya
Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama
mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la
kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya
Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa
katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena
kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la
msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni
kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao
ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya
mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo
hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi
hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN
SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee
kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his
expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si
sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga
kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini
tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na
UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko
mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip,
will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako
ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu
Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja
baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu
hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa
tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.
hii nzuri naona wameanza kuvurugana masalia coz dogo hapeleki mgao, enheee tuambie mengine Mtela
 
Teacher1

Teacher1

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Messages
320
Likes
31
Points
45
Teacher1

Teacher1

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2011
320 31 45
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.
HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.[/QUOTE]

Mbona unafunguka kidogo kidogo? Ng'oa Koki
 
House of Commons

House of Commons

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
1,688
Likes
424
Points
180
House of Commons

House of Commons

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
1,688 424 180
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na watanzania wa mwaka 2005/2010.
Hofu yangu ya kumzungumzia zzk kwenye majukwaa ni kumjenga na si kuchafua/kumbomoa zitto kama tunavyo kusudia.
Kitendo hiki kinafanya watu waanze kujiuliza who is zzk mpaka anunukiwe/akihujumu chama?,sasa sikuajiosha/akizipangua hoja hizi atakuwa mtu mashuhuri sana na atakuwa na wafusi wengi sana.
"Hatua hii itakuwa imemjenga zaidi kuliko kuliko kumbomoa".

We need to review this plan.
Ni kweli una akili finyu sana
 
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
686
Likes
3
Points
0
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
686 3 0
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?
 
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,158
Likes
1,155
Points
280
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,158 1,155 280
Ni mkutano gani Dr Slaa alimchafua Zitto?
 
Sanchor

Sanchor

Member
Joined
Nov 15, 2013
Messages
11
Likes
0
Points
0
Sanchor

Sanchor

Member
Joined Nov 15, 2013
11 0 0
Baada ya siku 14 nina uhakika Zitto hatofukuzwa. Zitto ni kama Lowasa Chadema. Hafukuzwi mtu na 2015 ndo mgombea wa Urais kupitia chadema na Lowasa ccm.
Siasa bhana, zinanipa raha sana.
Ps: ntarudia tena hili tamko bada ya baraza kuu kutoa maamuzi
 
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
1,077
Likes
7
Points
0
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
1,077 7 0
jamani anayedhani Zitto ni tishio wahuni wa CCM, yule kijana hana akili yake kichwani zote za kuambiwa tu. ebu kama yeye tishio aanzishe chama chake kama atapata watu
 
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
5,296
Likes
15
Points
0
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
5,296 15 0
Kitendo cha katibu mkuu na mwenyekiti wa chama kutumia fedha nyingi za chama kuzunguka sehem mbalimbali za nchi ili kumzungumzia Zitto na wenzake inaonyesha nikwakiwango gani wanavyo muhofia zzk na tusipokuwa makini tutamjenga zaidi Zzk maanaa watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa tofauti na watanzania wa mwaka 2005/2010.
Hofu yangu ya kumzungumzia zzk kwenye majukwaa ni kumjenga na si kuchafua/kumbomoa zitto kama tunavyo kusudia.
Kitendo hiki kinafanya watu waanze kujiuliza who is zzk mpaka anunukiwe/akihujumu chama?,sasa sikuajiosha/akizipangua hoja hizi atakuwa mtu mashuhuri sana na atakuwa na wafusi wengi sana.
"Hatua hii itakuwa imemjenga zaidi kuliko kuliko kumbomoa".

We need to review this plan.
hiyo ni delusional mind DR Slaa amzungumzie Zitto for what zitto a dismissed case azungumzwe na Dr you must be dreaming na ukweli kazi za chama haziwezi kusimama kwa sababu ya kiwavi na pandikizi la CCM na TISS kama Zitto
 
Forum statistics

Threads 1,250,853
Members 481,494
Posts 29,747,788