Recent content by samyz

  1. samyz

    JamiiForums Tanzania Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    Msisahau tiktok ndo balaa
  2. samyz

    JamiiForums Tanzania Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

    Nakuongeze s8+ kimuonekano n nzur kwanza ina alluminium frame sio ayo maplastiki ya midrange za a series kama a51.
  3. samyz

    JamiiForums Tanzania Ugoro unaharibu meno yangu

    Apo ukiacha geji unabd uanzee kula fegi ili kupotezea arosto mkuu
  4. samyz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

    Hii kali ase
  5. samyz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

    Dah
  6. samyz

    JamiiForums Tanzania Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

    Usisahau Diamond rock kitu ya shy twn nayo imetake over market saiv.
  7. samyz

    JamiiForums Tanzania Android Music player gani ni bora kuliko zote?

    Poweramp.. Vlc
  8. samyz

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme Arusha umeanza

    Ikifika saa tatu wanakata hata sasa hivi amna kitu.
  9. samyz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na usaha kwenye uume na nikikojoa naumia

    Gono ilo tyar..
  10. samyz

    JamiiForums Tanzania Apple Iphone 12 is finally here

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  11. samyz

    JamiiForums Tanzania Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Mpaka uone mtu kaweka ad na picha ujue kazidiwa wataalam umu msaidieni jamaa.
  12. samyz

    JamiiForums Tanzania Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Hamna mkopo.. Bodi inatoa kwa degree tu.
  13. samyz

    JamiiForums Tanzania Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Yah tofauti apo n mwaka tu lakn ata akimaliza diploma akiunganisha degree kuna uwezekano wa kupata mkopo pia.. Apo option n yako mwenyewe. Ila mi naona option nzur ni uende chuo mapema na sio a_level coz unagain proffesional yako mapema na unapata vyeti kuanzia certificate na kuendelea, coz kuna...
  14. samyz

    JamiiForums Tanzania Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Huwezi kumaliza form 4 ukaenda diploma lazima uanze certificate kwanza mkuu. Ingekuwa form 6 kama ujafaulu ndo unaanzia diploma.
  15. samyz

    JamiiForums Tanzania Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

    Yah naona Adi fetty nae karudi
Back
Top Bottom