Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

Hiv s8 na s8 plus zinafk bei gan?
samsung-galaxy-s8-0.jpg
 
Chukua A51 hyo. S8+ ishapitwa na wakati saahz.

Mabaya ya S8+
1. Haipati software updates tena (ipo kwenye android 9 na haipandi tena
2. Haikai na charge kma A51
3. Utapata simu refurbished ambazo sometimes zinakua na matatzo kma ya network, battery, display or software
4. Kwasababu ni refurbished, low quality refurbished zinakuaga na display burn in ambapo unaona kma kuna maandishi kwenye display ambayo hayayoki
5. Camera yake sio nzuri kuliko A51 (inachukja video nzuri zaidi ila still pictures ipo nyuma kidogo)
6. Zinapasuka vioo kirahisi sana hzo kutoka na kua curved.

Mazuri ya A51
1. Ni mpya zaidi.
2. Inakaa na charge sana ukilinganisha na S8+
3. Itapata software updates huko mbeleni. Sshv ipo kwenye android 10 na itakua updated mpk android 12
4. Ina kioo kikubwa na modern design
5. Ina camera ya ultrawide (inakua na view kubwa kuliko camera ya kawaida) na ina macro lens (inapiga picha zoomed za vitu vdg). Hizi zote hazipo kwenye S8+
6. Utapata simu mpya na sio refurbished (haina magumashi)

A51 ni bora zaidi ya S8+. S8+ itakua na uwezo mzuri kdg kuliko A51 lakini A51 nayo sio kwamba iko slow wala nini. Display ya S8+ ina high resolution lakini zinapata hyo burn in baada ya mda kdg ambayo inakera kweli. Mfano wa burn in huo apo chini[emoji3596][emoji3596]View attachment 1654918

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
S8 PLUS HUWEZI KUFANANISHA NA A51 muhimu umwambie atafute isiyo refubrish lakini hyo A51 ni takataka kwa hata s7 edge achilia mbali s8plus
 
Achaneni na masimu ya zamani hayo yashapitwa na wakati. Utabambikizwa refurbished tu. Samsung washaacha kuziproduce miaka mi 3 iloyopita unafikiri utapata wapi simu ambayo sio refurbish sshv.
 
Ila still ni capable, Hebu tuichambue in deep.

1. Storage yake imetengenezwa na memory za Ufs 2.0 ama 2.1, midrange Chache zina Ufs even hio A51 ina Ufs 2.0

2. Display yake sio tu ni super Amoled Bali ni quad HD na ina Hdr 10, Hakuna midrange yoyote ile yenye display kama hii even 2020.

3. SD 835 ama exynos 8895 still Rules compare na midrange. Mfano exynos ina Mali G71 lakini Mp20 hizi ni kama equivalent ya core 20, midrange nyingi including A51 ina mp3 tu.

Adreno 540 inapambana na Adreno 620 kwenye sd 765 ambayo ni top 2020 cpu ya midrange na simu zake zinauzwa 1m+

4. S8 ina gigabit lte, subiri usiku na halotel unapita 100mbps unadownload vitu kwa haraka zaidi, for comparison A51 ni Cat 12 ni mpaka 600mbps tu.

5. S8 ni water proof, ina dex, na tech kibao za kisasa kuliko midrange za Sasa.
Nakuongeze s8+ kimuonekano n nzur kwanza ina alluminium frame sio ayo maplastiki ya midrange za a series kama a51.
 
Chukua A51 hyo. S8+ ishapitwa na wakati saahz.

Mabaya ya S8+
1. Haipati software updates tena (ipo kwenye android 9 na haipandi tena
2. Haikai na charge kma A51
3. Utapata simu refurbished ambazo sometimes zinakua na matatzo kma ya network, battery, display or software
4. Kwasababu ni refurbished, low quality refurbished zinakuaga na display burn in ambapo unaona kma kuna maandishi kwenye display ambayo hayayoki
5. Camera yake sio nzuri kuliko A51 (inachukja video nzuri zaidi ila still pictures ipo nyuma kidogo)
6. Zinapasuka vioo kirahisi sana hzo kutoka na kua curved.

Mazuri ya A51
1. Ni mpya zaidi.
2. Inakaa na charge sana ukilinganisha na S8+
3. Itapata software updates huko mbeleni. Sshv ipo kwenye android 10 na itakua updated mpk android 12
4. Ina kioo kikubwa na modern design
5. Ina camera ya ultrawide (inakua na view kubwa kuliko camera ya kawaida) na ina macro lens (inapiga picha zoomed za vitu vdg). Hizi zote hazipo kwenye S8+
6. Utapata simu mpya na sio refurbished (haina magumashi)

A51 ni bora zaidi ya S8+. S8+ itakua na uwezo mzuri kdg kuliko A51 lakini A51 nayo sio kwamba iko slow wala nini. Display ya S8+ ina high resolution lakini zinapata hyo burn in baada ya mda kdg ambayo inakera kweli. Mfano wa burn in huo apo chini[emoji3596][emoji3596]View attachment 1654918

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Mkuu S8+ no flagship na A51 ni mid range smartphone. A51 hata kwa S7 edge haiingii, labda battery tu.
Cha msingi ni aangalie apate kitu kipya au kama ni refurbished abahatike apate iliyo katika ubora wa juu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mm huwa naona ni bora uchukue midrange inayoeleweka kuliko flagship ya miaka mi3 iliyopita. Flagship itakua na build quality nzuri ila utapata simu refurbished yenye matatzo. Week iliyopita tu hapa mtu kafungua thread humu kuwa note 9 aliyonunua imekwamia android 9 na haina hata option ya software update. Wadau humu wanafungua thread kuwa s6, s7, s8, s9 zao zinazingua network sababu alibakikiziwa refurbished ya US huko.

Mm kwangu ni bora nichukue midrange mpya kuliko refurbished flagship. Ni sababu moja wapo iliyonifanya nichukue Pixel 3a baadala ya S9 kwa bei hyo hyo.
 
hakuna ubishi kwamba kwenye midrange unajihakikishia uzima wa simu na betry,ila ubora hakuna.

halafu kuna simu unaweza ziwekea mashaka ila sio s8plus,bado iko moto sana ndio maana hata dukani bado imechangamka.
bado ni simu sana,labda ingekuwa anaulizia na akina s6,7 au note 5 huko nyuma.
 
Samsubg A51 na Oppo A93 au Oppo Reno4 F bei zinaelekeana
 
Back
Top Bottom