TANESCO hawana maana yoyote. Na ili mradi wameamua hawatuelezi taratibu zao za Washa Zima ili vitu vyetu viungue, kazi zetu ziharibike na kwa ujumla kuathiri maisha yetu dawa ni kuwatelekeza, tuandamane shirika lote wapewe redundancy, Mawaziri husika wajiuzulu na wale wote wanaolamba pesa yetu...
JK pamoja na kuwa na sura nzuri ni mpenda watu, mkarimu na mcheshi. Watu wanasema mabaya juu yake kwa sababu ya inda, wivu na hila wakidhani ukiharibu ya mwenzio wewe ndio utakuwa bora. Sasa hivi watu wanasema mambo mengi kwa vile uhuru huo upo. Mambo yanayosemwa sasa yasingeweza kusemwa miaka...
Nakumbuka sekondari moja maarufu wilaya ya Kisarawe enzi hizo St. Andrews College alikuwapo kijana mkakamavu wa Skauti akiitwa Onea Siogopi Sitombeki. Tido Mhando ni shahidi walikuwa wote
bweni la St. lukes. Unamkumbuka Mhe. Chomeka wa jimbo la Uzini?
Ruzuku kwa vyama vya siasa ni stahili na haki yao sio fadhila kwa vile inatokana na kodi inayolipwa. Nchi nyingi zilizoendelea na zinazoendelea hutoa ruzuku kwa vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa. Nchi nyingi za ukanda wa Scandinavia hutoa ruzuku kubwa zaidi kwa vyama vichanga vya siasa ili...
La msingi ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya mdaktari na watumishi wote kwenye sekta nyingine. Nchi nyingi zinazofanya vizuri katika tawala zao zinaji wajibisha na uboreshaji wa utendaji kazi wa sekta zake za huduma na sio kuziacha zinatapatapa na kujiingiza na migomo. Utumishi wa umma inao...
Nimetumiwa CV ya Prof. Maji Marefu kutoka kwa mpiga kura wake ambaye hakutaka jina lake litajwe ili asije wehuliwa na Mb huyo. Nayo iko hivi:
Jina kamili: Steven Hilary Ngonyani a.k.a Prof. Maji Marefu
Alikozaliwa: Shamba Kapori, Mruazi Kata ya Mnyusi, Wilaya ya Korogwe
Asili yake. Mngoni...
Tutumie majukwaa kama JF kumshauri Rais kubaini viongozi waovu miongoni mwetu na yale mabaya wanayoyafanya tuyaeleze. Kumekuwa na tabia ya viongozi huku vijijini kulindana na kufichiana madhambi, ukienda kwenye kata na tarafani mambo ni hivyo hivyo. Ukipenya Wilayani au Mkoani utazushiwa zengwe...
Poleni watu wa Korogwe hatuwaonei wivu kwa uamuzi wenu wa kuchagua ptmbi asiye na elimu(hana cheti cha elimu ya msingi) anayeishi kwa mizuka na maruhani. Hata pesa alizowahonga wakati wa kampeni zilikuwa ni za mapepo. Sasa subirini aje kamatwa kwa utapeli aliofanya Kenya. Poleni wagosi kwa...
Wewe mwenye sense endelea na fikra zako njema. Nadhani uelewa wako ni mdogo kiasi kwamba kubadilishana nawe mawazo ni kujipotezea muda.
Ndefia fo. Aramzade.
Inasikitisha kuona Madaktari ambao ni watoto wa nchi hii wameamua kuzama kwenye malumbano dhidi ya serikali ambapo waathirika ni sisi wananchi tunaotegemea huduma yao. Sikujua kwamba Daktari amalizapo shahada yake analipwa zaidi ya milioni 1 na wahitimu wa shahada nyingine wanapata nusu...
Enzi za Mwalimu madaktari wanaogoma wangechapwa viboko na madaktari toka Cuba wangeshajazana Tz. Wangekuwa blacklisted hakuna kazi popote na hakuna kutoka nchini. Kumbe tayari mnapewa asilimia 100 ya kusoma na mkianza kazi mnapata mara 2 ya kianzia mshahara cha wahitimu wengine wa shahada ya 1...
Ukabila upo sehemu nyingi na utaendelea kuwepo kwa vile watu wenye mitazamo chanya ya kuuondoa wanazidi kwisha. Kizazi hiki na vijavyo ndiyo vyenye majukumu ya kusema HAPANA kwa kila aina ya kubaguana kwa kipato,kidini, kikabila, rangi, jinsia n.k. Tukitaka tutaje kila sehemu na maovu yake ya...
Tutawaunga mkono madaktari kwenye madai yao kwa nguvu zote endapo nao watatuonea huruma watanzania wenzao tusipate madhara kama yaliyokwisha tokea. Madaktari wakiacha mwanya kwetu kuwachukia itakula kwao. Wasiruhusu malumbano yakawa ya pande nyingi wataumia.
tuwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.