Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Pita na zako, chuini,pita na zako, sebuleni, fuoni, mchangamle, jitini, mfereji wa wima ah znz inaongoza
 
Kilima Nyoko...ukitoka Tunduru unaitafuta Songea!

nasikia Arusha kuna sehemu inaitwa Cheka Ung'atwe maeneo ya Sometini sijui huko!!!
 
mtaa wa legeza mwendo Tabora, Songea

Nakapanya, Nanguruwe majina ya vijiji vya tunduru

umenimbusha mbali enzi hizo kuna sehemu ilikuwa inaitwa Nambwa, (sasa ni Kiegei) mheshimiwa mmoja alitangazwa kwenye radio kuwa alilala Nambwa, chakula cha mchana akala Nanguruwe
 
Nakumbuka sekondari moja maarufu wilaya ya Kisarawe enzi hizo St. Andrews College alikuwapo kijana mkakamavu wa Skauti akiitwa Onea Siogopi Sitombeki. Tido Mhando ni shahidi walikuwa wote
bweni la St. lukes. Unamkumbuka Mhe. Chomeka wa jimbo la Uzini?
 
Umefurahisha sanaaaaaa, yupo wapi siku hizi au alishabadili jina?
 
Back
Top Bottom