Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Tumevumilia vya kutosha, tumeumia vya kutosha, tumekufa vya kutosha, tumenyanyaswa vya kutosha, NI WAKATI WETU WANANCHI KUIDAI SERIKALI HAKI YA KUTIBIWA KWANI SISI NDIO TULIOIWEKA MADARAKANI ILI ISIMAMIE MAMBO YOTE YANAYOHUSU WANANCH, si haki sisi wananchi tufe kwa kukosa huduma za matibabu kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa serikali, Watanzania hatuna mkataba na madaktari tunamkaba na serikali na SERIKALI YA YETU IMEONYESHA KUTOKUTHAMINI UHAI WA WATANZANIA, hakuna kukubali kufa tena kwa uzembe tumamke tudai haki zetu.