Du huu si mchezo haya mambo dadangu si ya haraka kwani yanaweza kukusababishia mateso hata kifo,but let discussss after the ELECTION lakini jaribu kutafakari background yako kimahusiano na watu waliokuzunguka na wanaokuzunguka ili tuanzie hapo af tutaendelea
Tunamashaka na wewe huenda ikawa ukawa ni miongoni mwa wa2 wanaoiba kodi zetu,na kama wewe ni mtanzania unayejitambua hujui haki yako ya kusikiliza CAMPAIGN ili ukamilishe haki yako ya 2 ya kupiga KURA,au unajua KULA na kutema mate ovyo?
Du wakubwa hiyo itakua yaki kubw zaidi kama wagombea wengine wa URAIS mbali na KIWETE(anayetukimbia),wakiwemo ndani ili tujue muelekeo wa nchi na watu gani wanauchu na maendeleo sio UDINI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.