Huwa mnajisikiaje?

dah! hapo demu anamchora mwenzie tu! atakapojua mwenye mmewe itabidi wahalalishe tu awe mke mwenzie

kusema la ukweli sisi wanawake hapo ndipo nachokaga kabisa, yaani mtu mkavu lakini anakuchora in/out inakera sana.
 
mie huwa ckubaligi kauli ya watu kusema"kaibiwa/naibiwa mume"..kwani huyu mnaemwita mwizi alikukuta nae road akakukwapua huyu mume wako na kukimbia nae? wote watu wazima wanafanya vitendo kwa maamuzi yao...

Halafu ku-entertain friends to a certain level its really not good maana matatizo mengine huwa tunajitafutia sisi wenyewe
 
nyamayao umesema mtu mzima na akili zake kabisa ule mchezo ndo unafanywa kwa wizi lakini wamekubaliana halafu binadamu tulivyo wajanja sasa unajua mke wangu ye ndo ananingangania,oh shetani na story zinazofanana ivo wakati akitoa miguu mlangoni ana spidi mia kwa huyo anayesema kamganda izi story huwa sizielewagi kabisa hapa huyu baba anaelewa analofanya na huwezi amini waeza kuta wamekubaliana kabisa hiyo nyumba ndigo iwe karibu na mkewe ili asishtukie mchezo mi nasemaga laiti kama tungekuwa kama vioo mtu akisimama anakuona unayosema,kuwaza na matendo hamna mtu angekuwa mzima wote tungekuwa na vilema vya kudumu au hatupo
 
hilo ndio kubwa zaidi, halafu wanawake tuna moyo kweli, mie nicngeweza, yaani tupo pa1 na mume wa mtu na mkewe pembeni najidai kama frnd wa kawaida mtu na mkewe wana chart kwa tabasamu, wanabadilishana mawazo hivi na vile, baadae huyo huyo mume anakuja kwangu na namuelewa kweli?...jamani jamani huwa sielewi kabisa Chauro.
 
Halafu ku-entertain friends to a certain level its really not good maana matatizo mengine huwa tunajitafutia sisi wenyewe

kabisa kabisa...huwa caminigi sana urafiki wa kushibana kati ya mwanaume na mwanamke...ni wachache sana utakuta ni wa kweli mwngne ni mpaka wachunguliane
 
Hey jamani wait a sec...hebu katibu tuwekee rules za ISC tuone kama hili pia ni kosa
 
Mwanzo unakua mgumu alwayz :tape: Baadae wataitana shorst na huyu nyumba ndogo atajitahidi kumsoma mkeo/mpenzi then ww baba mchezo kwisha:rip:
 
halafu nakwambia mwisho wa siku huyu baba lazima atadata tu maana nyumba ndogo anawasoma nakujua mapungufu yao vya kutosha atachofanya atafukia yale mashimo mzee ndo atazidi kudata na kueleza mpaka njuruu ya mkewe ikoje ndo atapoanza kujua mashetani ya mapenzi yamefananaje kuna mambo hayafanyiwi mchezo mangumi lazima yakurudie usoni
hilo ndio kubwa zaidi, halafu wanawake tuna moyo kweli, mie nicngeweza, yaani tupo pa1 na mume wa mtu na mkewe pembeni najidai kama frnd wa kawaida mtu na mkewe wana chart kwa tabasamu, wanabadilishana mawazo hivi na vile, baadae huyo huyo mume anakuja kwangu na namuelewa kweli?...jamani jamani huwa sielewi kabisa Chauro.
 
kuna mmke anaiba mme wa mtu na kamganda mwenye mme kwa urafiki wa kinafiki kiasi kwamba mwenye mke kamuamini mno mpaka inatia huzuni,na hawa wote ni watz hivi rohoni unajisikiaje kwa ushetani huu,umepora mpaka haki ya msingi ya mtu kufurahia mume kutimiza miaka 50 kwa kumrubuni huyu mbaba kwa vipesa na kwenda nae bongo.

huyo sio mume wa mtu tena mume wa mtu kama angekuwa hajaibiwa au hayupo nae..huyo wa watu ameshaonja asali ya nje ya ndoa ndo mwendo huo utaendelea..
 
apo nani anajiskia nin?
wote wawili uyo aliyeibwa na aliyeiba wana makosa
km upo tyt na mkeo kuna delila yeyote anaweza kukurubun?
uyo mbababa ndo ana matatizo yan badala atulie na mkewe ye anagawa nje tu .....kuna wanawake wengine wamezaliwa specially kwa kudate na waume za watu sasa akimpata km uyu anayeweza kumwendesha km tineja basi anafurahia sana
yan ukizubaa ata mipango ya hm kwako atakuwa anakupangia afu wewe unaenda hm kwako kifua mbele wife nimeona tuchinje bata jogoo tumuuze njiwa tuwapeperushe mende tuwafuge ...sasa apo ole wake mke ainue mdomo ...jaman mume wangu lakin...wewe moto utakavyowaka apo...........!!!!!! hatari
ebu tulien na ndoa zenu uko alllllllahhhh!!!!!!!!

You are indeed something, nimecheka mbavu si zangu
 
Rose jamani, khaaa....bwana nimecheka mpaka bac...hivi kwann una vituko hivyo?
 
Ndio maana sitaki marafiki mie, iyo kitu shosti anakuja nyumbani una cha maana ni umbea tu nani anataka???
 
NOP, hiyo ilikuwa zamani rose , wanawake wa cku hizi wachafu hata zaidi ya wanaume , kama serengeti na wao wanao, mitaala na wenyewe wanayo , so wat really z the difference ? wote ss ni mashetani tu

nyinyi waume wa leo mmemkosea nini shetan?mbona anawaandamana sana?afu effect zake mnawaliza wake zenu?
ebu mshwwwwwwwwwwwwwwwwwinde na mlegee ebu fungen zipu zenu
roho wa bwana awaongoze jaman
mmh jaman...
 
Hapa hamna cha wizi wala nini! kila mtu ana ndoa yake lakini wamekubaliana kulidhishana kimapenzi. Hayo ni mambo yanayokubalika kidunia jamani. Asilimia zaidi ya 88 ya manaume wana nyumba ndogo na asilimia 60 ya wanawake wana nyumba ndogo. Hakuna malaika katika mapenzi
 
nyinyi waume wa leo mmemkosea nini shetan?mbona anawaandamana sana?afu effect zake mnawaliza wake zenu?
ebu mshwwwwwwwwwwwwwwwwwinde na mlegee ebu fungen zipu zenu
roho wa bwana awaongoze jaman
mmh jaman...

nyie wamama wa cku hizi mmemkosea nini mungu hata waume zenu kuchukuliwa na mashoga zenu? ( nasikia na ma-h/g pia wanavinjari kwa raha zao). Mrudieni mungu ili mpate kufaidi mema ya dunia na shetani ashindwe na alegee.
 
ni dalili za mwisho wa dunia hizi ( sodoma na gomora) imerijea tena
 
Back
Top Bottom