Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Taarifa zaidi wapendwa,vituo gani vitarusha matangazo au ni watakao ingia peke yake ndio wataangalia mdahalo?
 
DR Slaa wape vidonge vyao hao CCM. Waonyeshe wewe ni msomi wa theologia na si mashara na kwambwa unampango wa kuwaunganisha wabongo kiitikadi na kithiologia.
 
Toba! nimechelwa, ngoja nikatizamie nyumbani lakini pigeni picha mtatuhabarisha. Je na jk atakuwepo? make hakuna ku-edit akianguka.
 
Toba! nimechelwa, ngoja nikatizamie nyumbani lakini pigeni picha mtatuhabarisha. Je na jk atakuwepo? make hakuna ku-edit akianguka.
Soma kwanza mkuu uelewe ni lini utafanyika si kukurupuka kama Kikwete anavyoongoza nchi kwa message za email bila kuzielewa.
 
JK please, may you join him. we have some questions for you mkuu!

This is the end of JK and his CCM party of Alibaba and forty thieves............This country is bigger than an individual who was born and raised in this African soil..................
 
"Dr" kikwete tayari ameshamaliza kampeni mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar. Mwanzo walisema yupo bize na kampeni kwa hiyo hana muda. Sasa tunamtaka ashiriki huo mdahalo asilete visingizio vingine kampeni ameshamaliza afanye mdahalo.
 
Ningependa sana kuhudhuria hii shughuli. Kama kuna yeyote atakayejua/fahamu taratibu za kuhudhuria naomba atuhabarishe.
 
Haya jamani wengine tumefungiwa mbali msisahau kuturushia maana nasikitika hata kura sitapiga.
 
Du wakubwa hiyo itakua yaki kubw zaidi kama wagombea wengine wa URAIS mbali na KIWETE(anayetukimbia),wakiwemo ndani ili tujue muelekeo wa nchi na watu gani wanauchu na maendeleo sio UDINI
 
IGP ametoa taarifa finyu sana na yaonekana hakutaka kutupasha ukweli hata kidogo....yaelekea kuna analolificha hapa ingawaje sijui ni nini? Kweli penye moshi panaficha moto....................
 
Dr. Slaa anajiamini sana kwa sababu anasimama katika ukweli always na anajua hasa nini kinachompeleka Ikulu kwa dhati yake. Nadhani hakuna swali hadi sasa ambalo hawezi kulijibu hata lile la maisha yake binafsi.

Kurushwa live akijibu maswali kutamuongezea credit kubwa kwa wananchi ambao hawajahudhuria mikutano yake na ambao either wana wrong information or are not conviced enough hasa ukizingatia watanzania wengi ni wasomaji kijuu juu tu, wasikilizaji na watazamaji wala si wasomaji wa kina.

Kwa ufupi ni wavivu wa kusoma. Hii ni fursa ambayo Dr. Slaa atatia msumari wa mwisho na mkali kwa mpinzani wake mkuu JK
 
kikwete hawezikwenda hata wamfanyeje..hawezi kukubali kwenda...
 
Back
Top Bottom