Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

kaulizwa anaonaje hali ya nchi badala ya kutoa hali halisi ya maisha ya watz anasema watu wana mwamko na shamrashamra hivyo atashinda
 
Duh! Hana Mvuto kabisa yaani kumbe Wauliza Maswali walishajorodhesha na wanaitwa kwa Majina ha ha ha aaaaa
 
Dakika kumi anajibu kwa nini wakulima wanauza mazao kwa bei wanazopenda wanunuzip- mama yangu huyu ni kilaza sana na hajui kabisa midahalo

Mkuu this is so obvious. Hatuna rais wacha Jumapili ifike tu ampishe DR. Slaa tuanze safari ya maendeleo
 
Swali linaulizwa kuhusu wasiwasi wa kuibiwa kura. waulizaji maswali naona lazima wawe ni waandishi wa habari. Jamaa amewekwa juu ili awe anawaona watu kwa chini. hana confidence kabisa.

Anaanza kutueleza njisi tutakavyopiga kura hatua kwa hatua hilo ndiyo jibu la kuwa kura hazitaibiwa!
 
Mimi binafsi sina haja ya kuangalia. Hakuna jipya ni sahani ile ile ambayo haijaoshwa! Msanii namba moja, ze komedi, mwizi wa raslimali zetu, mtu ambaye kawanyima fursa wagombea wenzie wa sisi m ya kufanya anachokifanya leo! mwenye macho na aone!
 
Wacwac wa uwizi wa kura
Eti ni vigumu sana , kuiba kura, kwa taarifa yako jk , kura huibiwa wakati wa majumuisho, sio wakatii wa kupiga
 
wamiliki na hao walio wakilisha vypmbo vyao
wanalamba viatu vya Kikwete wamepewa maswali utafikili misukule fulani audience sijui kaitoa wapi,sio mchanganyiko kabisa maajabu kweli hatuna raisi
 
Eti mtuhumiwa si muhalifu .........sasa kwa nini waendelewe kuhudumiwa kama hawana tuhuma hadi hapo mahakama itakapoprove otherwise??? Mimi nafikiri wasingeruhusiwa kugombea, wala kusimamishwa na kukampeniwa hadi kesi zao zifikie tamati na kama itaonekani ni msafi basi atusamehe kwani ni mtuhumiwa kimazingira ..asubiri uchaguzi mwingine asafishe jina.
 
anakataa kwamba hakuna wizi wa kura. Ninachoelewa kura uwa zinaibiwa wakati wamajumuisho.ofcourse hawezi kusema kwamba kura zitaibiwa
 
Sikujua kama angethubutu kujilipua kwa mara ya pili baada ya kufanya hivyo asubuhi
 
Anazungumzia wizi wa kula , ina maana anatufanya hatujui kuwa wapiga kura hewa huwa ni wanajeshi na polisi ambao hawaruhusiwi kupiga kura, sio kwamba kunakuwa na kura bandia ila huwa kuna wapiga kura wasioruhusiwa. Kama wana akili wanaweza mnyima vilevile. Hizi kazi anazoelezea hapa ni kazi ya Kiravu!!!!
 
Watching and listening to him talk is as exciting as watching paint dry. Yaaawniing
 
Back
Top Bottom