Catagena
Member
- Oct 23, 2010
- 91
- 14
Waungwana, kadri miaka inavyosogea, ndugu zetu watanzania weney asili ya kiasia wanajipenyeza kwenye nafasi mbalimbali kupitia vyama, hasa chama cha mapinduzi.
Ila kwa mwaka huu, kuna kitu kimenishangaza pale jimbo la Morogoro mjini. mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi, tycoon wa mji huo, Bwana Aziz Abood amekuwa akifanya kampeni zake bila hata kuwa na nduguye yeyote kumsindikiza. Uchunguzi unaonyesha kuwa, hata mkewe hajawahi kumsindikiza kwenye kampeni zake, na mara zote kwenye meze kuu utakuta mweupe ni yeye peke yake.
Hii inaleta picha gani? Kuwa yeye peke yake ndiye mpenda siasa za bongo? Au hana ndugu wanaoweza kumsindikiza katika heka heka zake hizo? Au ndugu zake hawaoni umuhimu wa hiki anachikifanya?
Mimi nimejiuliza maswali mengi sipati jibu, hivyo naomba waungwana wa JF mnisadie kuhusu hili.