Recent content by samoa

  1. samoa

    JamiiForums Tanzania TRA hawajui maana ya shortlisting ?

    Mi navofaham.. inpendekezwa shortlisting ifanyike kwa ratio ya 1/3 or 1/4.. yaani kama unahitaji watu 20 hardly unaweza kuita watu for interview kama 60 had 80... lkn kuita watu 1000 is inefficiency .. labda kuwepo na justfication nyingine
  2. samoa

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamishwa

    Naombeni kujulishwa kwa yeyote anayejua sehem ilipo mahakama ya hakimu mkazi wa wilaya ya ilala
  3. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Ok sawa
  4. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Kuna wengine wanasema digitek ni king'amuzi kizur pia. Sijui kama kuna mwana jamii anayetumia atupe uzoefu.
  5. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Kina local channel zote?
  6. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Ok gharama zake vp?
  7. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Local channel zote
  8. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    DSTV ninayo. Nataka kwa ajili ya local channels
  9. samoa

    JamiiForums Tanzania King'amuzi kizuri

    Wana jamii naomba msaada wa ushauri kuhusu king'amuzi gani kizuri naweza kununua.
  10. samoa

    JamiiForums Tanzania Afanya mapenzi na nguruwe

    Hilo si jambo la ajabu kwa jamii ya wafugaji, kama umewahi kuishi au unatoka katika jamii kubwa za wafugaji kama wasukuma na umewahi kujishughulisha na kazi ya kuchunga mifugo huwezi kushangaa kwani hayo ndio maisha yao.
  11. samoa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi IMF atiwa mbaroni tuhuma za jaribio la Kubaka...

    Hata mimi nahisi kuna uwezekano wajanja wamemfanyia, hasa ukichukulia kuwa alikuwa anatarajia kugombea Uraisi huko Ufaransa
  12. samoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ninaweza kuoa mwanafunzi wangu? nipeni ushauri

    Mi nadhan kuwa ni mwanafunzi wako sio ishu kubwa, hasa ikiwa age difference ni miaka 7 tu pia hata yeye ni mtu mzima (I mean above 18). labda tungejua ur sex, coz for man marrying a woman younger with age difference of 7yrs is not an issue, and viceversa inaweza kuwa issue.
  13. samoa

    JamiiForums Tanzania Mrema haishi vituko - Akihutumia kwenye mvua Morogoro

    mbona mi sijaona kituko hapo............
  14. samoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    Mi nadhani suala la kunywa pombe linaweza kuzuilika iwapo mnywaji akiamua na kama unywaji wake si wa kuwa forced na mapepo, otherwise akiombewa anweza kupona. Kwani kuna watu wengi nimewashuhudia wakiacha kunywa kwa kuamua wenyewe na wakafanikiwa. Tatizo mimi ninaloliona ni huyo boyfriend wako...
  15. samoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kili Music Awards 2011

    Jamani yupo wapi Diamond, hata tuzo moja hakupata.......::lalala:
Back
Top Bottom