nyamujulemukama
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 147
- 64
Usilalamikie shortlist hilo ni bomu litalipuka siku moja maana hiyo ni indicator kwamba hakuna ajira na viongozi wetu wanalichukulia simple wameshindwa kuwa wabunifu na ku explore more jobs. Nawaomba tuache ushabiki wa kisiasa tuzisome ilani za vyama vyetu vya siasa tuchague chama chenye ilani itakayotutoa kwenye umaskini wakujitakia na ukosefu waajira.
.
.