Mrema haishi vituko - Akihutumia kwenye mvua Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema haishi vituko - Akihutumia kwenye mvua Morogoro

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 27, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbona watu wachache?
   
 3. L

  Losemo Senior Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kule Vunjo hakukua na m2 mwingine kabisa wa kumpa ubunge???????????
   
 4. samoa

  samoa Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mbona mi sijaona kituko hapo............
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kituko kwakuwa hayupo kwenye chama tunachokishabikia ukiwa tofauti unakuwa abnormal hii ndio JF karibu gahwa Mkuu Samoa
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hajavaa magwanda lazima aonekane kituko.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,976
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Mkuu toka lini wananchi wa wanachagua kiongozi wao?
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hapo,$ za osama zinaongea, hata angeambiwa avae msuli angevaa tu.
   
Loading...