Recent content by samito

  1. samito

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya rejareja (chumba na sebule) na faida zake

    Ukikipangusha chumba kwa 50,000 kwa mwez ni hela ndogo sana coz kujenga room moja mpaka ikamilike ni kati ya M2 hadi M4 unategemea na finishing... pia usisahau garama zingine kama kiwanja kodi ya ardhi, mda wako n.k Ili ilipe lenga kupata kuanzia 70,000 kwa mwez, room zenye choo ndan ni bora...
  2. samito

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Hili WZO NI ZURI,.linaw3za boreshwa:- Kwasasa vyuo baadhi vina kitengo cha kulea wanafunzi wajariamali, kinachiweza fanyika hawa wajaria mali ambao ni best wamelelewa vizur kwa kipind cha miaka miwili au mmoja, tubaki na vyeti vyao kisha wapewe mkopo wa kuendeleza biashara mara tu wanapo maliza...
  3. samito

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

    4 - 5 M Sent using Jamii Forums mobile app
  4. samito

    JamiiForums Tanzania Wizi wa magari Dodoma

    Mbinu mpya hii CHUKUA SIMU HATA NDOGO AMBAYO HUITUMII... ifiche ndani.ya gari mahali pasipojulikana... wakiiba basi watu wa cyber wanai truck simu kirahisi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. samito

    JamiiForums Tanzania Wizi wa magari Dodoma

    Tatizo ukitoa betri au ile fuzi ya powersuply kweli hawataweza kuliwasha ila inakuwa tatizo jingine kwamba hata kibaka akija akivunja kioo haitapiga ata alam n anaweza fungua chochote mfano taa, power window etc Idea nzur madhani kifunga CAR TRACKING... kama kuna mwenye maujuzi atuambie how it...
  6. samito

    JamiiForums Tanzania Wizi wa magari Dodoma

    Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka. Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha...
  7. samito

    JamiiForums Tanzania Jafo ni waziri ni mfano wa kuigwa

    Naunga mkono hojaaaaa... Waziri JAFO ni jembeee... huyu jamaa yuko smart na mtu yeyote unaweza ongea nae tena friendly kabisa... na akisema kitu hasau na anafatilia.
  8. samito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Nimekula Ban ya dakika 20 imebidi niitoe FM whatsapp ... any sollution nirud kundin maana hii OG whatsapp haina MADOIDO
  9. samito

    JamiiForums Tanzania Planning ya mji wa Dodoma ni mbovu, mji unaendelezwa zaidi kuelekea upande mmoja wa barabara ya Dodoma kwenda Dar es Salaam

    Iko hivi Hapatakuwa na msongamano, kwanini... 1. zinajengwa ringroad TATU, ya kwanza imeanzia Martin Luther ya pili iko mbele ya soko na.uwanja na ya tatu iko mbele zaid kule mji wa serikal na bado kuna brabara nyingi ambazo zinaingia na kutoka... mfano ukitokea nala na unaenda stand kuu...
  10. samito

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Respect.... aisee andika kitabu kuhusi haya misha yatakupa hela... huwa sisomagi mavitu marefu lakini huu uzi nimeusoma woteee... ni juz nimetoka kuwashauri watu flan kutembelea wafungwa. aisee... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. samito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

    Safi
  12. samito

    JamiiForums Tanzania Barick wameufyata; Hakuna press ya gawio la hisa, report ya fedha, soko la mitaji au maongezi na Tanzania

    dah utanivunja mbavu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. samito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Anataka LOSE LOSE situation... wakose wote... dah wanawake bana
  14. samito

    JamiiForums Tanzania Mafisadi kuhamia CHADEMA?

    dah kwel bana...
Back
Top Bottom