Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Nimekula Ban ya dakika 20 imebidi niitoe FM whatsapp ... any sollution nirud kundin maana hii OG whatsapp haina MADOIDO
 


Fata uo uzi FM WhatsApp Anti ban
 
Haaa mkuuu haiwezi kuwa kweli khaaaa
Subiri nikutafie mkuu hiyo kitu

Screenshot_2019-06-09-16-03-15-221_com.facebook.katana.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom