Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,385
- 10,873
Ndoa ni kuvumiliana, tena hayo ni madogo mno katika maisha ya wana ndoa.
Msamehe maana hajui alolitenda kuwa lingeweza kukufikisha hapo ulipo.
Mambo ya ndoa ni magumu mno
Ndoa ni kuvumiliana, tena hayo ni madogo mno katika maisha ya wana ndoa.
Msamehe maana hajui alolitenda kuwa lingeweza kukufikisha hapo ulipo.
Kosa la mkeo ni nini?kutokumtambulisha x? au kumhug ex?au huo umbea alokuambia shogake ndo umekuudhi?
Yani huyo anatakiwa kijiti cha kalio, af kwanini aombe wakati shoga ake hayupo mashoga wengine wathenge mxyuuuu
Pale alipoenda kumtambulisha kwa rafiki zake ningemwambia apitilize nae huko huko
vipi bado una uoga na wasi wasi wa lile soo lako la majuzi..nusura ufumaniwe
Mkuu, unajua kuwa hata mamako aliyekuleta hapa duniani naye ni mmojawapo wa "yakae, yazae, yalee, yapike, yafanye usafi wa nyumba"? Wanawake hasa wa siku hizi wana matatizo yao lakini hata sisi wanaume mambo ni yale yale. Kuwadharau na kuwadogosha namna hii wala siyo dili unless kama uko sexist.nina miaka 33 na watoto wawili niliozaa na wanawake tofauti. sina mpango wa kuoa kwa sasa,naendelea kutafuta pesa kwa ajili ya wanangu na mimi mwenyewe. hii midemu iliyograduate huwa imegraduate kuanzia virgin,michepuko hadi utoaji wa mimba afu bado ikiolewa ni mizinzi na viburi juu. me nimeizalisha afu nimepiga chini yote. watoto ndo mpango,ni heri nisaidie ndugu zangu tu. sometimes huwa tunalaumu sana islamic fundamentalists ideology ya kuwatreat hawa wanawake lakini wapo ok,yakae home,yazae,yalee,yapike,yafanye usafi wa nyumba n.k.
"Binti huyu alinibembeleza sana kuwa nisimtaje kabisa kama yy ndie source ya hiyo habari"
Huu ni umbea sasa.. yeye shemeji yako yanamuhusu nini?Ukifanya mchezo mtaachana kisa umbea wa shemejio yake yamemshinda anaanza kukufukunyua na nyie yakushinde shoga wake naye awe ameachika...
Think big mwanaume acha kufuatilia umbea babue.. kama mkeo hajawahi kukucheat ya nyuma yanakuhusu nini? we umefanya mafinyo finyo mangapi kabla ujakutana na mkeo... ACHA KUFUATILIA HABARI ZA UMBEA NDOA ITAKUSHINDA LOH....
ahahahhahaha...mie ningekuwa wewe...ningeuagiza mchepuko wangu uje mliman city nikiwa na wife halafu nauambia tukikaa ukituona uje utusalimie na tutahughiana vibaya sana kisha utanikaribisha mezani kwao na warembo wenzake...lazima nikirudi nikute ushafika home na umenuna mbaya.....MWAGA MBOGA NIMWAGE UGALI UKILETA VYOKO NAMWAGIA MAJI MKAA ULIOPIKIA CHAKULA.
iala inaumaPole sana ndugu najua hisia zako yeyote anaweza kuwa nazo iwe na mke au mume..., tena ingekuwa mbaya zaidi kama ingekuwa ni wewe umekutana na EX wako, mkeo angelianzisha papo hapo ila wanaume tumeumbwa na subira ya kiwango cha kuridhisha..
Ushauri huu wa miss chagga ni mzuri ila yote kwa yote Akili ya kuambiwa changanya na yako...
sio lazima awe michepuko wako, unaweza kula deal tu na warembo wa dar, ukapiga offers huku ukamtikisa kidogo wife, dah umenipa kaujanja
ha haa
'' shemeji naomba namba zako maana hapa mjini hwezi jua kuna kesho na kesho kutwa''................huu mstari umebeba ujumbe mzito sana na nimemwelewa huyo sasa na nimefurahi sana kuuona mstari huo..
iala inauma