Ni rahic kutatua ttz km ukijua chanz chak .je chanz in nn mpk yatokee hayo na ni hap tuu kwnn icw mikoa mingin ?jukumu la wananch na serikal kwa ujuml in kutafut chanz cha ttz ili iwe rahic kutatua ttz
Ukimya ukikithir maonev huenea c kwamb waiclam hawawez kulip kisas la wanawez bt hutumia hekima na bussar ss tume ya uchunguz iundw na ichunguz ikishindwa bc waiclam watachunguz kwa ujuz zaid na kucwep malalamik
Ni ngumu kuelew kt ucchokijua na ambach ni tofaut na iman yk mpk uamue so ckushangai juu ya hil bt vym uisom vym bible yak som agano la kal na jpy utaelew zaid
Jiuliz kwa ufup una akili?na je uliwah kuiona akili ama kuigusa km hpn kwann unaamin km unaakil bc ndivy ilivy hat ktk kumuamin mung yup jp hujawah kumuon?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.