Ftc
Senior Member
- Apr 30, 2017
- 144
- 114
Tena level 3 ni mbali ukiwa na level 1 tu ya umeme na cheti chako cha form four kizur unakula maisha vizurMkuu Mpeleke umeme chukulia tu mfano wangu mwenye level 3 ya veta anaajiliwa tanesco au mashirika mengine kama fundj umeme je mwenye level 3 ya IT kutoka veta ni wangapi wanaajira rasmi? (Wapo ila ni wachache) graduates wa IT wenye bachelor's zao wengi wapo kitaa wanasota Umeme ndo mpango mzima mkuu
Note:
Na declare interest Mimi ni muhandisi wa umeme