Nenda kwenye media toa hizo hoja zako zikiwa na mashiko tutaandamana kuona huo uongoz wako wenye akili timamu...kuongea kwa hasira huku jf ni sawa na kujifungia chumbani na kujamba mwenyew
Hili jambo linatakiwa chama cha CCM kiwe makini na hii hama hama ya watu kutoka chama pinzani ,naona hapo kuna harakati za kuivuruga ccm ,,angalizo polepole kuwa makini sana sana na hawa vijana kama huyo wa bavicha yawezekana anajipenyeza ili kujaribu kupata taarifa za ndani ya chama ili...
Kijana endelea kufanya kazi za kumhabudia ruge huu upumbavu ruge aliokutuma mkaukumbatie huko classs ,,kwan lazma watu washiriki fiesta ,je fiesta inatulipa nini si bora miguh ya bure vilema wengi watatembea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla haujaleta hapa upupu wako utizame mara 10000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.