Kwa hiyo sie tufanyaje??Ametweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.
Kauze kibofu cha mkojo
Nimekua wewe??Kauze kibofu cha mkojo
Unataka sisi tufanyaje mkuu, tumpe nauli au?Ametweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.
Nenda na wew ukamshikie huko kusini ili ujue tarifa wamezipata au badoWale walio mnyoshea Bunduki mchana pale Serena hoteli wana taarifa hizo?
Yaani kutetea chama chake nayo ni habari?!Ametweet kwenye ukurasa wake kuwa anatarajia kukitetea chama chake katika kinyang'anyiro cha udiwani katika mikoa ya Kusini.