Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

Kuna wanyarwanda wengi sana serikalini hata kwenye taasisi nyeti. Nenda pale Ubungo kwenye Hotel Kagame wanakutana mara kwa mara, labda km wameacha!!!! Waliwahi kushangilia kifo cha Mtikila nikahisi labda wanahusika.

Dawa ni kuwafanyia kitu mbaya hadi waione Tz km Guantanamo!
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Mkuu acha kututusi
Ustawi wetu umechangiwa pia na wanyarwanda?!!
Kwa nini kagame anapenda sana kufanyia ujasusi wenzake?anatafuta nini haswa?
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
Jidanganye tz imeamka sio ile ya kipindi kilichopita mkajidai wajanja
 
Zitapigwa simu juu kwa juu watajirudia nyumbani tu hao. Jiulize kwann waandishi wanazuiwa. Mbona wahabeshi wale wakikamatwa hata kama ni usiku kila kitu kinangoja asubuhi kukuche waaitwe waandishi wa habari itangazwe nchi nzima
hao wataomba ukimbizi sasa hivi maana wakirudi huko kwao wanalo wataitwa natinal interest traitors
 
Leo katika Mahakama ya Kisutu, kuna makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wamefikishwa mahakamani, watu hawa wanadaiwa kuingia nchini kinyemela kwa kazi maalum.

Cha ajabu wanasheria wa Serikali walukuwa wakizuia waandishi wasiruhusiwe kuandika eti sababu ya mahusiano yetu na Rwanda.

Hata hivyo waandishi wachache wamefanikiwa kupata hati ya Mashtaka inaonyesha jamaa wanashtakiwa kuingia nchini kinyume cha sheria, kughushi vyeti vya kuzaliwa ambavyo vimewaonyesha wamezaliwa Amani kumbe wako kazini.

Jambo hili linamaana gani kwa usalama wa nchi yetu?
Lina maana kwamba idara yetu ya usalama inafanya kazi yakebvizuri
 
kigali can do,fikiria makamanda wote wanyarwanda kule kampala wakitakA KUANZISHA MOTO,
Wanajua tecnics na fall za M7 KWANI NDIO WALIOPIGANA KUMPA MADARAKA,M7 Kachoka kinachofuata ni ku hand power tu.
kwa ubishi anataka amwachie mwanae muhoozi CDF,Yale yale ya mugabe na Grace
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?
shut the https://jamii.app/JFUserGuide up we mtu ,
tena utulie kabla hujafikiwa maana ulipo wapo
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?

Wana wivu na Rwanda kutwa kuisema wanaona Rwanda yasonga mbele kwa kasi kubwa Air rwanda inapasua anga kila uchao wao wana nchi kuubwa na kila kitu lakini maisha yao ya hohe hahe. Proudly Rwandese
 
Hata kama humpendi former pzd mpe heshma yake kama binadamu mwingine.
Kusema Pohamba kama hampendi JK, HAPANA; humtendei haki! Simfahamu hanifahamu lakini ki-JF JF, namfahamu sana! Hana chuki hata 0% dhidi ya JK. Hapa huenda alipotoka tu au kughafirika na yote hayo ni ada ya mwanadamu!
 
Ndiyo maana kukaja na tetesi kuwa Nyerere ni mtusi.
EXACTLY!! Aliwaachia sana hawa jamaa! Walipoingia madarakani akina Mkapa na JK ikawa wameshajichimbia mizizi na kuwa kuwa ngumu kuwa-identify! Thanks to asili yao ya ku-adopt Family African names lakini kama wangekuwa wanatumia John Michael, Martin Josephat and the like; KAMWE tusingewabaini!
 
Wana wivu na Rwanda kutwa kuisema wanaona Rwanda yasonga mbele kwa kasi kubwa Air rwanda inapasua anga kila uchao wao wana nchi kuubwa na kila kitu lakini maisha yao ya hohe hahe. Proudly Rwandese
Cha maana kilichopo Rwanda ni kipi?! Watanzania na ufisadi wao wote wa kupenda vitu vya nje; sijawahi kusikia wakipeleka watoto shule/vyuo Rwanda, cjawahi kusikia wakienda kutibiwa Rwanda, cjawahi kuckia wakienda kufanya shopping Rwanda!!

What's so special in Rwanda?! Au ndo hiyo Rwandair? Ingekuwa shirika la ndege ni deal kiasi hicho basi Ethiopia Ingekuwa ndo largest economy in Africa!
 
Hivi mbona Tanzania ina Waburundi, Wakongo, Wamalawi na Wasomali wengi tena wanafanya mambo mengi mabaya katika Jamii zetu hizi lakini hamuwaandami kama mnavyowaandama Wanyarwanda? Hivi Wanyarwanda tumewakoseeni nini nyie Watanzania? Kuna ambacho tumewalia labda tujichangishe tuwalipeni? Hivi mnajua kama hata huu ' ustawi ' wenu mlionao na mnaojivunia nao sasa hata Raia wa Rwanda wameshiriki katika kuuchangia na kufanya uwepo hadi leo hii? au ni hii IQ yetu kubwa na moyo wetu wa Ujasiri na Kujituma ndiyo unawateseni Watanzania?

Kwani ungetulia bila kuweka mchango wako hapa Chief ungepungukiwa na nn!!!!
 
Back
Top Bottom