jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,022
- 10,693
Mwenye thread asishangae wasiojuwa neno "Outsourcing", sababu wengi wako serikalini au kazi za "outsourcing" hazifanyiki nchini...sina uhakika..
Ngoja nisaidie hapa, TTCL, itoe tender na kuajiri kampuni nyingine kabisa iwe inafanya kazi zake, labda za kutengeneza na kuuza simu kama (HUAWEI), Computer Programming etc etc, au labda kuajiri kampuni nyingine kabisa ifanye kazi zake za "Customer Services" hasa zile za 24hrs, hiyo kampuni iliyopewa tender yaweza kuwa hapa nchini au nje,
Mfano Kenya, infact katika kuongelea hili, ingependeza wajuzi wachangamkie hiyo tender, waweza tu kodisha nyumba sehemu mjini, sajili kampuni, tafuta wafanyakazii mahiri wanaozungumza kishwahili na ung'eng'e mzuri, computers etc etc basi, kazi zako zatoka TTCL, yaani customers wote wa TTCL watakuwa directed kwako uwahudimie..
Mkuu SubiriJibu kasema na kaleta mambo yanayofanywa nchi zilizoendelea..safari ndefu
Ila imependeza zaidi (maneno ya Dr. Shika) kuona waTZ wanalijuwa hili...