Recent content by salminvisram

  1. salminvisram

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Ndg Yapo ya kuzihaki lkn sio linalomuhusu MUNGU kwani hata hiyo nguvu ulioitumia kuanddika ulichokiandika imetokana na NEEMA ZAKE KWAKO.
  2. salminvisram

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Huko huko mji mwema Kigamboni ndiko aliko mpaka leo.
  3. salminvisram

    Mwandishi wa Habari adanganya, aumbuka na sasa kibao kumgeukia!

    Bila shaka umeathiliwa na malezi ya kikahaba pole sana!!!
  4. salminvisram

    Mwandishi wa Habari adanganya, aumbuka na sasa kibao kumgeukia!

    Hivi ulieandika huu unanzi unajisikiaje leo baada ya kipigo cha 2-0?
  5. salminvisram

    Uhujumu Uchumi: Shehena kubwa ya bidhaa toka ng'ambo yakamatwa Bandari bubu Tanga

    Kwa muda mrefu sana bandari bubu za Tanga na Bagamoyo zimetumika kuingiza bizaa bila kulipa kodi yoyote na Serikali inalijua hilo. Wala hilo si jambo jipya
  6. salminvisram

    Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

    Kuna upuuzi unajijenga ndani ya vichwa vya watu wachache kua "Ukiikosoa Serikali ys CCM basi wewe ni NYUMBU" yakiwafika shingoni wanajisogeza upaze sauti nao!
  7. salminvisram

    Upotevu wa makontena: Filamu iliyomaliziwa vibaya

    Teh...teh...labda kuna Part 2 itakuja
  8. salminvisram

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    Sizani kama Manji ni member hapa Ili akupe ufafanuzi!
  9. salminvisram

    Waziri wa Afya akilemaa, Naibu atamfunika na kuchukua kiti

    Nazani ni mgawanyo wa majukumu
  10. salminvisram

    Tangazo Maalum kwa Watumaiaji wa Simu za mkononi Mobile Phone.

    Wageukie na ubora wa huduma na gharama wanazotozwa watumiaji
  11. salminvisram

    Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Labda hiyo picha umeiona leo baada ya kuchapwa gazetini lkn ni picha iliosambaa ktk mitandao ya kijamii mapema baada ya Paul Makonda kuteuliwa kua Dc.
  12. salminvisram

    Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

    Sio kweli na labda umesahau pale JK alipotoa sifa kwa JPM alipofanya ziara ya kustukiza kama sio Hazina basi Muhimbili. Na labda alitegemea kuona mambo yangeishia kule kule lkn baada ya hotuba Bungeni na mwendelezo wa ufanyaji kazi wa JPM kila mmoja anaanza kumuona jamaa kama kawasaliti. (Huo...
  13. salminvisram

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Tatizo mnapenda kutoa sifa za mtu hata pale anapobolonga nani asiejua safari nyingi za nje zilikua mzigo kwa Taifa? sio Maguguli tu hata Benard Membe amekili hazalani kua walikua wakipishana Angani kama vile huku Nyumbani kunawaka Moto! Je huyu nae? Je Ile kauli ya Prof Baregu, Mbatina Mketo juu...
Back
Top Bottom