Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

Mlisema anapenda show time na mikamera sasa anapiga mwizi kimya kimya

Akili za kinyumbu hazitabiliki
 
Watu wengine bwana kama mbuzi, akikaa kimya mnapga kelele akiiibuka mnapga makelee.
 
Kajifungia na WATAALAMU kwa ajili ya bajeti. Ahadi alizotoa ni nyingi sana
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Huyo ni Rais wa Nchi na sio Mzee Yusuph (Muimba taarab).
 
My guess ameanza kujua uzito wa kazi
na hasara ya maamuzi ya pupa...

watu hupenda kusema Magufuli ni workaholic ...kama sifa nzuri saana
ukweli kiongozi akiwa workaholic anaweza mno kuvurunda
kuliko kiongozi mpenda starehe kidogo

Marekani waliwahi kuwa na Rais workaholic anaitwa Jimmy Cater...
alikuwa msabato..hapendi party...ikulu ilikuwa na party chache sana
hanywi pombe....anapiga kazi hadi usiku.....nchi ilivurugika mno
akaja kushindwa na mpenda party za Ikulu na mcheza sinema Ronald Reagan
Reagan party zilikuwa nyingi sana Ikulu lakini aliweza ku clean mess yote aliyosababisha Jimmy Carte
akaiacha Marekani pazuri mno....
 
Unajua kukampeni na kutawala/ kuongoza ni vitu viwili tofauti sana.

Magufuli siyo kiongozi mzuri. Urais haumfai.

Pia nahisi kama vile aliombwa tu na baadhi ya watu kwenye chama chake ili akinusuru chama.

Hana kabisa busara na hekima ambazo rais wa nchi anapaswa kuwa nazo.

Na sasa naanza kuona dalili za kushindwa zipo waziwazi.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao

Hali ni mbaya sana kwa rais wetu, kilinge kimemshinda, wafanya biashara wameapa kutopitishia mizigo bandari ya Dsm, ameshawabembeleza zaidi ya mara tatu wamegoma, wamemwambia aendelee kuendesha serikali kwa kushitukiza.

Pili, serikali haina mtu creative, hawa mawaziri wanaojifanya wanaenda na kasi ya magufuli tusitegemee chochote positive toka kwao, kumbuka kauli walizotoa na deadline walizoweka Kama kuna lililotekelezwa. Kuwa kiongozi wa nchi mambo mengi sana yanatakiwa yawe installed kwako, Hekima na busara na utashi ni mojawapo.
 
Unajua kukampeni na kutawala/ kuongoza ni vitu viwili tofauti sana.

Magufuli siyo kiongozi mzuri. Urais haumfai.

Pia nahisi kama vile aliombwa tu na baadhi ya watu kwenye chama chake ili akinusuru chama.

Hana kabisa busara na hekima ambazo rais wa nchi anapaswa kuwa nazo.

Na sasa naanza kuona dalili za kushindwa zipo waziwazi.

Ngabu Magufuli ni one big puzzle...
naona CCM now wana regret ..
sababu Uchaguzi walitumia mbinu nyingi haramu
that means hata Membe tu angepita...

Sasa kama CCM walimteua akinusuru chama...haiku work
na sasa anashindwa kuwaunganisha.....chama kiko divided na yeye ndo mwenyekiti mtarajiwa
 
Eti wafanyabiashara wameapa!!!!!! Wameapa kwa mkeo/mumeo!? ACHENI prOpaganda za kizamani. Nenda bandarini kesho gate no 5 uone makontena yanavyotoka pale.
Ulivyo na akili fupi unadhani container linaagizwa Leo na kutolewa leo, container zinazotoka Leo zimeagizwa mwezi mmoja au miwili iliyopita
 
Anapambana na mfumo mgumu mpana na wenye mizizi mirefu mno
 
Ngabu Magufuli ni one big puzzle...
naona CCM now wana regret ..
sababu Uchaguzi walitumia mbinu nyingi haramu
that means hata Membe tu angepita...

Sasa kama CCM walimteua akinusuru chama...haiku work
na sasa anashindwa kuwaunganisha.....chama kiko divided na yeye ndo mwenyekiti mtarajiwa

We ona tu hata hilo zoezi la bomoa bomoa linavyoendeshwa.

Yaani shagalabhagala tupu!

Hivi wanadhani ndo wanatatua tatizo?

Hawaoni kwamba kwa jinsi wanavyoliendesha wanaunda tatizo jingine la homelessness?

Huwezi ukawabomolea tu watu makazi yao ilhali wewe [serikali] mwenyewe ulishiri katika kutengeneza tatizo.

Sasa wao wanabomoa tu bila hata kuwa na mipango mbadala na matokeo yake wanashiriki katika kutengeneza matatizo mengine.

Watu wataokosa makazi yao sitashangaa wengine kati yao wakiishia kufanya mambo ya kihalifu.
 
Mimi hili la bomoabomoa linanishangaza zaidi kwa mawaziri
na advisers....wa Magufuli......walipaswa kumgomea hili waziwazi
sio na wao kugeuka robots tu na kutekeleza kila wanacho agizwa
 
Hivi kuna wa kumgomea kweli kati yao?

We huoni tu hata walivyoanza kazi?

Monkey see monkey do.

Magufuli kaanza na vamia vamia....Majaliwa naye akaiga.

Baada ya mawaziri kupatikana na kuapishwa, baadhi yao hata kabla ya kwenda ofisini wakaanza na vamia vamia.

Bure kabisa.
 
Kuna upuuzi unajijenga ndani ya vichwa vya watu wachache kua "Ukiikosoa Serikali ys CCM basi wewe ni NYUMBU" yakiwafika shingoni wanajisogeza upaze sauti nao!
 
They are shallow minded stupid creatures
 
Hivi kuna wa kumgomea kweli kati yao?

We huoni tu hata walivyoanza kazi?

Monkey see monkey do.

Magufuli kaanza na vamia vamia....Majaliwa naye akaiga.

Baada ya mawaziri kupatikana na kuapishwa, baadhi yao hata kabla ya kwenda ofisini wakaanza na vamia vamia.

Bure kabisa.

Taifa la watu zaidi ya milioni 50
kuwa mnaendeshwa kwa kutegemea mtu mmoja alivyo amka
ni aibu saana...

Kama mtu ni waziri huwezi mgomea Rais wako usipokubaliana nae kitu
na ukajiuzulu..ukaishia tu kufuata kama Robots...hakuna faida kuwa waziri....
 
Back
Top Bottom