Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

mafundisho

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
388
Reaction score
136
Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji
wake ulIotukuka.....

Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa
wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa
Mh. Raisi Magufuli.
Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa
viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka
njaa, kwa kitendo chao cha kumuunga mkono
Mh. Lowasa. Ulidiriki kusema, uongozi wa nchi
hii haupasi kupewa MAFISADI. (Ukimanisha
haupasi kupewa Lowasa)

Wiki chache baadae UKAYALAMBA MATAPISHI
yako kwa kusema kuwa hakuna kama Lowasa, na
ndio chaguo sahihi kwa mabadiliko ya nchi yetu.
Ilifikia mahalia ukisema kuwa CCM hakuna aliye
msafi na hakuna anayeweza kupambana na
MAFISADI.

CCM waliendelea na mchakato wao ndani ya
chama, wakaingia kwenye kampeni na mwisho
wa siku wakaisimika Serikali ya awamu ya 5
madarakani.

Leo hii unataka CCM wamsifie Mh. Rais kwa yale
anayoyafanya??..

Tulishamsifia Mh. Magufuli kitaambo sana, na
ndio maana tukampa nafasi, Katika wagombea
38, tulimuona yeye anafaa ndio maana tukampa Nafasi

Huu sio muda wa kusifiana rafiki yangu Julius
Mtatiro, bali ni muda wa KAZI. Tunataka watoto
wetu waende Shule January 2016. Tunataka
MIRADI YA MAENDELEO isonge mbele kwa kasi.
HUDUMA ZA JAMII ziborehswe kwa kiwango bora
kabisa, bila kusahau mapambano dhidi ya
UFISADI na RUSHWA.
CCM tunafanya KAZI ya KUIJENGA na KUISUKA
UPYA nchi yetu Tanzania, hatuna muda wa
kusifiana, mpaka ahadi zetu zote tulizowaahidi
WANANCHI zitimie

Kama wewe rafiki yangu Mtatiro unasubiri SIFA
endelea kusubiri SIFA. Tuache sisi CCM tufanye
KAZI.
Kwani SASA NI KAZI TU??..
 
Sio kweli na labda umesahau pale JK alipotoa sifa kwa JPM alipofanya ziara ya kustukiza kama sio Hazina basi Muhimbili. Na labda alitegemea kuona mambo yangeishia kule kule lkn baada ya hotuba Bungeni na mwendelezo wa ufanyaji kazi wa JPM kila mmoja anaanza kumuona jamaa kama kawasaliti. (Huo ndio ukweli msijifiche nyuma ya vivuli vya unafiki)
 
Na wewe umeanzisha thread uonekane ....kazi sana JF humu
 
Kwani ukimsifia #Magufuli utapungukiwa nini ?
Mbona anafanya kazi kubwa zinazorejesha heshima ya #Tz na kumjengea heshima kimataifa.

Uchaguzi umeisha, kampeni zimeisha #Magufuli ndie Rais wetu, na tunamuunga mkono.

Au we ulitakaje ? @mleta uzi
 
mbunge kaacha uchukua posho tu mmesumbua na matamko ya kumsifia kila kona. muwe wawazi ukweli ni kwamba hamjui kesho ataamka vipi na maamuzi gani. pia mnamuogopa mwenyekiti wenu
 
Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji
wake ulIotukuka.....

Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa
wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa
Mh. Raisi Magufuli.
Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa
viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka
njaa, kwa kitendo chao cha kumuunga mkono
Mh. Lowasa. Ulidiriki kusema, uongozi wa nchi
hii haupasi kupewa MAFISADI. (Ukimanisha
haupasi kupewa Lowasa)

Wiki chache baadae UKAYALAMBA MATAPISHI
yako kwa kusema kuwa hakuna kama Lowasa, na
ndio chaguo sahihi kwa mabadiliko ya nchi yetu.
Ilifikia mahalia ukisema kuwa CCM hakuna aliye
msafi na hakuna anayeweza kupambana na
MAFISADI.

CCM waliendelea na mchakato wao ndani ya
chama, wakaingia kwenye kampeni na mwisho
wa siku wakaisimika Serikali ya awamu ya 5
madarakani.

Leo hii unataka CCM wamsifie Mh. Rais kwa yale
anayoyafanya??..

Tulishamsifia Mh. Magufuli kitaambo sana, na
ndio maana tukampa nafasi, Katika wagombea
38, tulimuona yeye anafaa ndio maana tukampa Nafasi

Huu sio muda wa kusifiana rafiki yangu Julius
Mtatiro, bali ni muda wa KAZI. Tunataka watoto
wetu waende Shule January 2016. Tunataka
MIRADI YA MAENDELEO isonge mbele kwa kasi.
HUDUMA ZA JAMII ziborehswe kwa kiwango bora
kabisa, bila kusahau mapambano dhidi ya
UFISADI na RUSHWA.
CCM tunafanya KAZI ya KUIJENGA na KUISUKA
UPYA nchi yetu Tanzania, hatuna muda wa
kusifiana, mpaka ahadi zetu zote tulizowaahidi
WANANCHI zitimie

Kama wewe rafiki yangu Mtatiro unasubiri SIFA
endelea kusubiri SIFA. Tuache sisi CCM tufanye
KAZI.
Kwani SASA NI KAZI TU??..
Ni mtazamo wako na mtatiro ni mtazamo wake pamoja na wengine wengi wanaohojiwa wanatoa maoni tofauti hiyo ndio demokrasi
 
Mbona jana kuna vijana wa CCM Kinondoni kama sikosei, wametoa pongezi kwa Magufuli na ITV wamewaonyesha hiyo jana kwenye taarifa yao ya saa 2 usiku?

Hata hao inawezekana nao walitoa tamko baada ya kupita hapa JF na kuona watu wakihoji.

Siku chache tutawasikia na wengine wakitoa hizo pongezi kiana tu.
 
Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji
wake ulIotukuka.....

Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa
wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa
Mh. Raisi Magufuli.
Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa
viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka
njaa, kwa kitendo chao cha kumuunga mkono
Mh. Lowasa. Ulidiriki kusema, uongozi wa nchi
hii haupasi kupewa MAFISADI. (Ukimanisha
haupasi kupewa Lowasa)

Wiki chache baadae UKAYALAMBA MATAPISHI
yako kwa kusema kuwa hakuna kama Lowasa, na
ndio chaguo sahihi kwa mabadiliko ya nchi yetu.
Ilifikia mahalia ukisema kuwa CCM hakuna aliye
msafi na hakuna anayeweza kupambana na
MAFISADI.

CCM waliendelea na mchakato wao ndani ya
chama, wakaingia kwenye kampeni na mwisho
wa siku wakaisimika Serikali ya awamu ya 5
madarakani.

Leo hii unataka CCM wamsifie Mh. Rais kwa yale
anayoyafanya??..

Tulishamsifia Mh. Magufuli kitaambo sana, na
ndio maana tukampa nafasi, Katika wagombea
38, tulimuona yeye anafaa ndio maana tukampa Nafasi

Huu sio muda wa kusifiana rafiki yangu Julius
Mtatiro, bali ni muda wa KAZI. Tunataka watoto
wetu waende Shule January 2016. Tunataka
MIRADI YA MAENDELEO isonge mbele kwa kasi.
HUDUMA ZA JAMII ziborehswe kwa kiwango bora
kabisa, bila kusahau mapambano dhidi ya
UFISADI na RUSHWA.
CCM tunafanya KAZI ya KUIJENGA na KUISUKA
UPYA nchi yetu Tanzania, hatuna muda wa
kusifiana, mpaka ahadi zetu zote tulizowaahidi
WANANCHI zitimie

Kama wewe rafiki yangu Mtatiro unasubiri SIFA
endelea kusubiri SIFA. Tuache sisi CCM tufanye
KAZI.
Kwani SASA NI KAZI TU??..

Imekaa ki kike hii post... Kwa hiyo ulitaka amkosoe hata kama kafanya vizur?.. Ujinga huo
 
Ni mtazamo wako ni mtazamo.wako.na mtatiro ni mtazamo wake hamna haja ya.kufata unavyotaka
 
kwanini huu uzi usiunganishwe na ule uliotangulia ? maana hamna kitu kipya , ni yale yale tu .
 
Nimemsikia Deutche Velle.. anarudi kwenye line taratibu. Walichomfanya Chadema kwenye uchaguzi huu hatosahau.
 
Naweza nisimlaumu sana Mtatiro maana najua kwa sasa anatafuta huruma ya jamii baada ya kugalagazwa vibaya na mwanadada Bona pale jimboni Segerea.

Mtatiro anajijua kuwa yeye hana bahati kwenye maisha yake, amejaribu kufanya hiki na kile lakini wapi. Siasa imemtupa mkono, sasa ameamua mara asome shahada hii mara asome shahada ile....ajira nazo hapati...hivyo ni mtu wakuhurumiwa kwa kweli.

Lakini pamoja na yote hayo nimueleze Mtatiro na Manyumbu wenzake kitu kimoja. CCM sio chama cha matamko. Nimekuwepo CCM kwa miaka mingi sana na nimeshuhudia kuwa chama chetu kinatoa matamko pale tu inapobidi kufanya hivyo.

Hivyo huyo Mtatiro na genge lake kudhani kwamba CCM itaanza kutoa toa matamko kuhusu uongozi wa rais Dkt Magufuli basi atasubiri sana.

Haya yote yanayoendelea yana baraka za chama na tulimkabidhi Dkt Magufuli kazi kwa kuamini atatekeleza haya yote ikiwemo kupambana na ufisadi na rushwa pamoja na kuhakikisha huduma bora za kijamii zinapatikana bila kusahau kuinua uchumi na kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ili maisha ya kila raia mmoja mmoja yaweze kustawi.

Hili ndilo lengo la CCM na hii kazi tumempa Dkt Magufuli aifanye. Kuanza kumsifia sisi wenyewe ni kama tutakuwa tunajitekenya na kucheka wenyewe sasa. UKAWA hemu mtuelewe.
 
Mkuu ukweli ni kuwa kuanza kutoa matamko,kusifia,kupongezana, kuunga mkono si wakati wake kabisa.Mkuu wa nchi hata mwezi hajamaliza ofisini watu mnataka asifiwe ili iweje?!!
Hivi mikutano yake ya kampeni Mtatiro na huyo mwenzake mlikuwa mnamsikiliza alichokuwa anazungumza/ahidi kwa wapiga kura? tulieni MAJIPU hayajaanzwa kutumbuliwa, ngojeni apange Squad kazi bado kabisa.
# SASA KAZI TUU #
 
Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji
wake ulIotukuka.....

Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa
wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa
Mh. Raisi Magufuli.
Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa
viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka
njaa, kwa kitendo chao cha kumuunga mkono
Mh. Lowasa. Ulidiriki kusema, uongozi wa nchi
hii haupasi kupewa MAFISADI. (Ukimanisha
haupasi kupewa Lowasa)

Wiki chache baadae UKAYALAMBA MATAPISHI
yako kwa kusema kuwa hakuna kama Lowasa, na
ndio chaguo sahihi kwa mabadiliko ya nchi yetu.
Ilifikia mahalia ukisema kuwa CCM hakuna aliye
msafi na hakuna anayeweza kupambana na
MAFISADI.

CCM waliendelea na mchakato wao ndani ya
chama, wakaingia kwenye kampeni na mwisho
wa siku wakaisimika Serikali ya awamu ya 5
madarakani.

Leo hii unataka CCM wamsifie Mh. Rais kwa yale
anayoyafanya??..

Tulishamsifia Mh. Magufuli kitaambo sana, na
ndio maana tukampa nafasi, Katika wagombea
38, tulimuona yeye anafaa ndio maana tukampa Nafasi

Huu sio muda wa kusifiana rafiki yangu Julius
Mtatiro, bali ni muda wa KAZI. Tunataka watoto
wetu waende Shule January 2016. Tunataka
MIRADI YA MAENDELEO isonge mbele kwa kasi.
HUDUMA ZA JAMII ziborehswe kwa kiwango bora
kabisa, bila kusahau mapambano dhidi ya
UFISADI na RUSHWA.
CCM tunafanya KAZI ya KUIJENGA na KUISUKA
UPYA nchi yetu Tanzania, hatuna muda wa
kusifiana, mpaka ahadi zetu zote tulizowaahidi
WANANCHI zitimie

Kama wewe rafiki yangu Mtatiro unasubiri SIFA
endelea kusubiri SIFA. Tuache sisi CCM tufanye
KAZI.
Kwani SASA NI KAZI TU??..

Unaonekana kuguswa na facts zilizoelezwa na Mtatiro katika andiko Lake. Wana ccm wapigaji wengi walidhani chini ya Magufuli wataendelea kunyonya na kupata shavu bila kujishughulisha.

Natoa pole kwa wote waliokuwa na fikra hizo potofu, kama hamkufanikiwa kujenga wakati wa Mtani wa Msoga ndio basi tena.

Hongera Mtatiro, kwa ukweli uliowagusa wenyewe.
 
Back
Top Bottom