Recent content by Sallass

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Hapa anaedanganya ni wewe seif hakusema yeye ndie rais mteule na wala hakusema kuwa tume imtangaze mshindi alieshinda kwa mujibu wa fomu zilizopatikana majimboni.. Ngoma usioijua isikupe mshawasha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Mkuu kikatiba sheni hana uwezo wa kumfukuza maalim seif kazi ya umakamo hata kama hataki aendelee.. Pia maalim seif hakujitangaza kuwa ndie rais mteule wa zanzibar bali alitoa takwimu zake za kura alizopata ktk vituo vya kupigia kura na kuiomba tume itangaze mshindi.. Alieanza kumtangaza maalim...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kumetokea nini hivi punde?

    Hakuna ukweli wowote juu ya taarifa hio mimi ndio niko huku .. Bado vijana wamejiinamia hawaamini kilichotokea
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tafukuri: Itakuwaje Maalim Seif akitangazwa rais wa Zanzibar?

    Maalim seif hawezi kuvunja muungano na hana nia ya kufanya hivo..na mara nyingi tu amekua akilisisitiza hilo ila anachotaka yeye ni kuwa na muungano wa usawa na wa kuheshimiana ktk maamlaka ,muungano ambao kila mtu atakua na uwezo wake kimaamuzi na kuendesha nchi yake sio huu wa kibabe.. CCM...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Samsung Laptop Used Inauzwa

    Weka picha mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

    Mkuu chadema wanaye Wa kuteuliwa kule Zanzibar anaitwa abama
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu

    Ok... Nakutakia subra njema kumpata unayefanana naye
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu

    Mume Wa aina hio hakuna labda umuumbe mwenyeo....WaPo wanaoweza kukubali masharti yako kabla ya kuoana ila mukiwa kwenye ndoa hayo masharti yako anayatengua yote....wanawake wengi hawapendi ndugu wala wazee Wa mume... Mna roho mbaya
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu

    Ndugu wa mumeo ni marufuku kuwa karibu na Mali zenu ila ndugu zako wewe ni ruhusa kuwa karibu nazo?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusikitisha kilichotokea leo hii

    Duh! Mtu tangu anashika vyeti vyangu mpaka anaaanza na kumalizia kuvuchana bado namtazama tu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Najivunia kuzaliwa wa kike

    Duh ila kuzaa sio kazi nyepesi nayo maana ukishazaa tena huwi sawa tena na wa awali
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Kwanza kwa tatizo lako la polycystic ovarian syndromes nadhani ungefatilia zaidi nadhani huenda utanikiwa kupata mtoto... Nasema hivo kwasababu mke wangu mm anatatizo kama lako, alikua mnyonge sana ila tulienda kumuona daktari wa kina mama... Baada ya miezi mitatu alipata ujauzito. Na sasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanangu wanaelekea kukosa ada ya shule kwa kutibu mama mkwe

    Tatizo la wake zetu wengi Wa kibongo ikiwa shida ipo upande Wa mume hususan wazazi Wa mume hua hajali sana lakini tatizo likiwa upande Wa kwao. Utamuona tu anavohangaika....na ukitaka kujua hilo chukua burungutu la pesa mkononi kisha mwambie mke wangu pesa hizi nampelekea mama...utamuona...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, sijatumiwa voucher number kutoka TCU

    Jaribu kutumia ile namba ya uthibitisho ya muamala... Mm kwangu ilikubali
Back
Top Bottom