man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 464
- 319
Mambo vipi wakuu,
Katika harakati za kutafuta ajira mjini nikawa nimemtembelea swaiba wangu ili tufanye application sote tumesoma public administration pale UDSM kabla ya kuendelea ngoja nikumbushie kisa kilichopelekea haya majonzi.
Hapa jamaa alipo kodi chumba kuna mabinti wa sekondari kwa vile jamaa ni msomi wakajenga tabia ya kuja anawafundisha masomo usiku (msaada) Mungu si athumani kwenye wengi kuna mengi.
Huyu swaiba wangu akaanza mazoea na binti wa maza mwenye banda mwisho wa siku wamekula tunda binti kapata ujauzito baada ya mama yake kumpeleka leo hospital kwa uchunguzi imebainika ni ujauzito.
Mama mtu kaja moja kwa moja chumbani tulipokaa tunaandika application kachukua vyeti vya jamaa kama mzaa na kudai,namnukuu "haya madaftari yenu ndo yamefanya mmempa mwanangu ujauzito"mwisho wa kunukuu.
Kaanza kuchana kama mzaa vile yani mpaka nimeshikwa na tumbo la kuharisha jamaa amechaniwa cheti cha form 4,6 na chuo vimebaki vipande vipande baada ya kumaliza karudi kushika vyangu nimemzaba kofi la mwaka kama kaenda kunishtaki nisamehewe bure.