Msaada, sijatumiwa voucher number kutoka TCU

Msaada, sijatumiwa voucher number kutoka TCU

RITZDEO

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
23
Reaction score
1
Mimi tangu juzi nimetuma pesa kupitia mpesa kwenda TCU na sms ya uthibitisho kutoka Vodacom ikaja kuwa ile pesa imeeenda TCU lakini sijatumiwa voucher number hadi leo kutoka TCU.

Nnimewapigia vodacom wanasema wao pesa washatuma kwenda tcu ko wakanipa namba za TCU ili niwapigie TCU lakin ile namba waliyonipa haipatikan na pesa ishaenda.

Nifanyeje?

Naomba msaada kwa anaefahamu.
 
nami pia siku ya nne leo, kuna wametumia baada ya dakika 2, mwingine baada ya almost wiki 3, mwingine wiki moja, ni kuwa mvumilivu tu huku unaendelea kuzitafuta hzo namba, zipi nying kweli ila mda mwing hazipatikan ni kwa kubahatisha.
 
Jaribu kutumia ile namba ya uthibitisho ya muamala... Mm kwangu ilikubali
 
Mi wamenitumia namba ya voucher lakini nikiinga haikubali, na ukiwatafuta kny namba zao hawapatikani
 
ingia kwenye website yao tcu kuna contact mule zao ztakusaidia hzo wanazotoa voda huwa znazngua halafu nawashauri mtumie tigo pesa coz tatzo kama hlo ukiwataarfu wanKusaidia voda wanaringa ni nlitumia tgo ikaNgua wakansaidiA nkapata voucher
 
Kuna mawili, ima hujasoma maelekezo ya tcu au kama umesoma basi hujayaelewa vizuri.
 
M navojuaga ukipewa meseji toka vodacom zle heruf kubwa za mwanzon ndo hzohzo unatumia..
 
Mnasoma maelekezo nyie kweli. Namba ya uthibitisho IPO kwenye SMS walokutumia ulipo lipa hela kwa mpesa
 
Wadau msaada. Mimi nilimaliza kidato cha sita mwaka jana,vocha ni lazima nikanunue NBC? Nimeuliza hivyo kutokana na categories zilizowekwa kwenye mwongozo. Nisaidien tafadhali.
 
Tatizo lenu mnafanya mambo kienyeji. Download kitabu cha admission (admission guide book), maelekezo yote yapo pale.

Hapo unatumia ile namba ya uthibitisho ya mpesa
 
Hi vi ukipewa fursa ya pili ya ku edit applications status za HESLB Na ukaconfirm kila kitu.mara wakakwambia fom yk iko Tayar,,, japo fom ulikwisha tuma zaman je haitakubalika fom y kwanza?
 
Hi vi ukipewa fursa ya pili ya ku edit applications status za HESLB Na ukaconfirm kila kitu.mara wakakwambia fom yk iko Tayar,,, japo fom ulikwisha tuma zaman je haitakubalika fom y kwanza?

iyo inshu nitafute niliwauliza loan board wakanijibu nitafute kwenye namba hii 0659418283
 
Back
Top Bottom