Magufuli mama yako
Niko kariakoo hapa Dar, kumetokea shangwe kubwa sana kwa na mji kuzizima!
Ni shangwe yenye kuashiria jambo la kher!
Kuna wengine wanasema cuf wamepewa ushindi,
Wengine wanasema uamuzi kufanyika j3 wa uchaguz kurudiwa au mshindi kukabidhiwa ushind wake!!
Mwenye taarifa kamili naomba atupie hapa pls!!!

Tetesi ni mwanzo wa habari .. tusubiri tuone!
Jifunze kuweka hakiba ya manenoNDOTO ZA MCHANA: Maalim kupewa nchi ya Zanzibar.
Ccm imesema imekubaliana na uamuzi wa kurudia uchaguzi zenji