Msimamo wangu

Msimamo wangu

Haswaaaaaa kama ulikuwepo, yaani ndio hivyo hivyo.

Mume Wa aina hio hakuna labda umuumbe mwenyeo....WaPo wanaoweza kukubali masharti yako kabla ya kuoana ila mukiwa kwenye ndoa hayo masharti yako anayatengua yote....wanawake wengi hawapendi ndugu wala wazee Wa mume... Mna roho mbaya
 
Mungu atanipa wa kufanana na mimi, acha kukariri wewe, tungekuwa na roho mbaya ungebanwa hata usiijue dunia, so tulia tu.
 
Go to hell mwanamke ka ww!! tafuta mwanamke mwenzio akuoe,, yan mdgu zang wakae mbali na mali zangu it means hata mama angu aliyentunza tumbon miez9,akanizaa,akanilea mpaka nimekua na kujitegemea,,,, kirah rahis tu et ooooh wakae mbali na mali zetu!!! fyuuuuuuuuh.
 
Mademu wasasa kizazi cha mabazazi........na mtazeeka na upweke wenu ......hizo shepu na sura mnazoringia wakati huu wa ujana zinakuja na xpiredate......soon zitapotea mtaanzakung'ang'ania wanaume za wenzenu wanaojitambua.........shame on you......your Armageddon is coming not many years from now onwards ......wenye akili wajiongeze wawache hawa wanawake mabazazi wanaojifanya wanaweza kutengeneza formula ya maisha yao.

Uzuri ni kwamba wanajidanganya kuwa wana msimamo/formula ya wishful thinking ila umri ukiwakimbia na kujikuta wako pweke na kuanza kugawa papuchi zilizojaa mvi kwa muhogo wa kuchoma na kachumbari au kutembea na waume wa marafiki zao. Mademu wa namna hii wanachezewa sana hapa mjini.....na huyu anaonekana jinsi alivyo na hasira kuwa kavuliwa sana chupi na ninahisi hata kisamvu cha kopo kishapakuliwa tena kwa hasara na ndiyo maana anaongea kwa hasira sana.
 
Hahahaaaaaaaaa...duh! Ninacheka ka chizi!!
 
Kwahiyo wewe ulivyo ongea kwa hasira hapa ni kwamba ushapakuliwa jisamvu cha kopo aiseee, pole sana.
 
Basi tu vile watu walivyokuwa emotional kwa uzi wako. Nimechaka mno..

Yaani hii mada ilinichekesha hatari siku nilipoipost, yaani hizo comments nacheka mpaka watu wananishangaa!!
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

Asante mamy....
Yaan hivyo hivyo hamna kulegeza.
Say no kumwonea mwanaume huruma....
 
Hahahaaa anafurahia maana vigezo vyako hakuweza kuvifikia hahahaaa

Akajitia kunimwaga huku bado ananitamani, we Eli79 njoo utoe sababu ya kunimwaga.
 
Last edited by a moderator:
Akajitia kunimwaga huku bado ananitamani, we Eli79 njoo utoe sababu ya kunimwaga.

Namsubiriii....alizani wew utachumia juani na wakati ni jukumu lake wew ule uvae upendeze
 
Last edited by a moderator:
Umesahau ongezea na kuwa hutaki kuliwa p gheto kabla hujaolewa ili mapovu yawatoke vizuri hahahaaa

Hahahaaaaaa!! Vivulana vichungu kwenye pesa, mxiiiiuuuu zao.

Namsubiriii....alizani wew utachumia juani na wakati ni jukumu lake wew ule uvae upendeze

Si ndio hapo sasa, anadhani vyote hivyo nitavifanyaje bila yeye kunipa pesa!
 
Back
Top Bottom