Msimamo wangu

Msimamo wangu

ubinafsi,kukosa busara na UK atoto vinakusumbua,ndoa au familia ni zaidi ya uijuavyo,hiyo misimamo upande wa pili ukiisimamia hakika dunia itazidi kuwa uwanja wa vita
 
Last edited by a moderator:
ubinafsi,kukosa busara na UK atoto vinakusumbua,ndoa au familia ni zaidi ya uijuavyo,hiyo misimamo upande wa pili ukiisimamia hakika dunia itazidi kuwa uwanja wa vita

Hahahahaaaa!!! Eti eeh!! Dunia ni uwanja wa vita long time ago na haikusababishwa na huu msimamo wangu, ubinafsiiii kila binadamu ana ubinafsi, na huu ni wangu in my own way, sio lazima uwe wa kila mtu.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread sikumbuki kama nimewahi kuchangia ila kila nikiiona lazima nifungue na kuisoma
 
Hahaa inagusa mno maslahi ya watu

Yaani,wakutukana hayaaaaa, wa kukashifu hayaaaaa,wa kushauri hayaaa!! Ila ukiangalia kwa ujumla negative response ndio kubwa, i wish ningejua origin yake napo nikasome comments zilizoandikwa huko nichekeeee!
 
Kumbe na wewe umeitoa mahali....
 
Na ninavowa disvalue wanawake hata nikiwa icu nikisikia nimepona kwa hela ya mwanamke sikubali nairudisha
Endelea tu na kamsimamo kako kazuri uko sawa kabisa kama mwanamke na tutazifunua sana tu, ngoja niendelee kutunisha account yangu
 
Ndugu wa mumeo ni marufuku kuwa karibu na Mali zenu ila ndugu zako wewe ni ruhusa kuwa karibu nazo?
 
Utakuwa ulizaliwa na mwanaume wewe sio bure, lasivyo ulianguliwa mtini.
 
Yaani ucngz umekata kabsaa nilivo soma hii post mmmm japo roho inauma bby aya bwn

Baby jamani post tu inakuumiza kama vile hunifahamu? Acha hizo mpenzi, yetu tutaongea wenyewe haya ya huku yaache kwanza, sawa sweetie.
 
Ndugu wa mumeo ni marufuku kuwa karibu na Mali zenu ila ndugu zako wewe ni ruhusa kuwa karibu nazo?

Haswaaaaaa kama ulikuwepo, yaani ndio hivyo hivyo.
 
Umejishushia hadhi hata kwa mungu wako bila kujijua tayar ushaaribu mbint

Kwa mungu sawa ila kwa Mungu walaaaa, hadhi yangu kwake iko juu sana maana mie ndio msaidizi bora, namsaidia vyema mwanaume kuitumia pesa yake.
 
Back
Top Bottom