Recent content by Salia Mdavadi

  1. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wanasiasa mbalimbali juu ya kujiuzulu ubunge wa Kinondoni, Said Mtulya

    Hivi kweli mtu aliyetumia gharama nyingi kuomba kura Leo anajihudhuri kilaisi hivi Anaacha mshahara wa million 22 hii nipamoja posho zao na dereva wake unaacha eti kwa kisa cha kuunga mkono juhudi za Rais Kwa mwenye akili lazima ufikirie kwanza
  2. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Acha wabomoe
  3. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania MICHEZO YA SHIMMUTA

    Habari za jion wajemani Kuna michezo ya taasisi za umma na makampuni binafsi yana itwa Shimmuta Hii michezo imefunikwa na rushwa sana yaani viongozi wake ni nirushwa tu kira wanachofanya Tunaomba TAKUKURU wamurike hiki chama Maana sasa kimekuwa shida kubwa hasa kwa kipindi hiki ambacho michezo...
  4. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara yapanda kati ya shs 10,000 hadi 120,000. Yaani kwa siku imeongezwa shs. 333.33 wafanyakazi hoyeee

    Mm nyongeza gani hii mm sijaona hata walicho ongeza
  5. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anaizika kaburini CCM?

    Naomba kujua Likizo ya Ndugu Kinana inaisha lini
  6. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa aajiriwa supermarket

    Eti Prof. Anaosha vyombo maneno ya mtu aliyekosa tumaini kujifariji kuwa hata yesu alikula mikate Kama nikazi tu ajefanye Mlimani Cty au ni Professor gani anayeuza supamarket
  7. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mrembo Wa kuspend nae Leo Moro...

    Kachukue Itigi msamvu pale wako kibao tu
  8. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    Kama yule Dk.M Si ni kichaa
  9. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Morogoro Tumeomba service line nimeshalipia Bank eti tunaambiwa nyaya nishida kwa nini lakini munatunyanyasa hivi wateja wenu
  10. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kushindana na Rais Magufuli kwa hoja, upinzani waja na mbinu za kuhujumu uchumi

    Anahoja huyo unaye msema sasa vitu vingine mfikirie ndio muandike Hoja zake nikuteua nakutengua kutisha watu tu
  11. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania .Bsc of human nutrition vs Bsc of Food Science and Technology

    Anaitwa nani maana nadhani atakuwa mwanafunzi wetu asome hiyo ya pili
  12. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro wanakula rushwa kwa wamiliki wa bar

    Ndugu baa ile ukianza tu kwenda upande Wa juu ni nyumba za watu
  13. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro wanakula rushwa kwa wamiliki wa bar

    Habari wakuu, Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita. Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa wana wanawambia wauze mpaka asubuhi. Rushwa ya bia na nyama za kuchoma tu. Baa inaitwa Samakisamaki...
  14. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Maswali mengine munauliza kama hamna akili vile
  15. Salia Mdavadi

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa na jeshi la polisi popote alipo toa taarifa kituo chochote cha polisi

    Simu laki sita na hela laki saba juml million moja na laki 3 Unasema donge nono litakuwa kiasi gani jamani?
Back
Top Bottom