Polisi Morogoro wanakula rushwa kwa wamiliki wa bar

Salia Mdavadi

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
64
Reaction score
35
Habari wakuu,

Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita.

Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa wana wanawambia wauze mpaka asubuhi. Rushwa ya bia na nyama za kuchoma tu.

Baa inaitwa Samakisamaki na baa inaitwa Kambarage na zingine nyingi tu zinakesha kibaya zaidi mziki mkubwa mpaka kero kwa sisi wengine.

Tafadhali tusaidieni
 
Hiyo nyumbani park a.k.a samaki sports pale Bima ipo opposite na nyumba ya RPC wa morogoro ila mwendo mdundo tunakula bia na mikelele ya mziki hadi jogoo anaruka bonanza.
 
Aseeeh
 
Habari wakuu naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa Siku hizi police wake wa morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita

Wanachofanya nikupita nakuomba bia wakisha pewa wana waambia wauze mpaka asubuhi
Rushwa ya bia na nyama zakuchoma tu
Baa inaitwa Samakisamaki na baa inaitwa kambarage nazingine nyingi tu zinakesha kibaya zaidi mziki mkubwa mpaka kero kwa sisi wengine
Tafadhali tusaidieni
Bar naikubali kinyama, pia ipo barabarani na siyo kwenye makazi ya watu.
 
Habari wakuu,

Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita.

Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa wana wanawambia wauze mpaka asubuhi. Rushwa ya bia na nyama za kuchoma tu.

Baa inaitwa Samakisamaki na baa inaitwa Kambarage na zingine nyingi tu zinakesha kibaya zaidi mziki mkubwa mpaka kero kwa sisi wengine.

Tafadhali tusaidieni
Habari wakuu,

Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita.

Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa wana wanawambia wauze mpaka asubuhi. Rushwa ya bia na nyama za kuchoma tu.

Baa inaitwa Samakisamaki na baa inaitwa Kambarage na zingine nyingi tu zinakesha kibaya zaidi mziki mkubwa mpaka kero kwa sisi wengine.

Tafadhali tusaidieni
Huku arusha stand polisi wanakula rushwa kwa kushirikiana na wapigadebe WA stand,kila basi moja likitoka stand lazima walipe 10,000
 
Mbona Gragoneries ni Bar ila ipo kimya sana au pale wazungu wengi
 
Kuna ubaya gani kwa jeshi la Polisi 'kushirikiana na wananchi' kwa staili hiyo? Leo njoo na wewe nikupe ofa hapa Samaki ya Kihonda.
 
Baba mwenye nyumba alisharuhusu wapewe hela ya brush(kwa trafiki)...kwa hiyo kwa hawa wengine ndo kama hivyo
 
Mbona Gragoneries ni Bar ila ipo kimya sana au pale wazungu wengi
Waswahili zetu ni Samaki Samaki,Mo Town,Downtown huko ndo Waswahili tunajaa.
Pale Kambarage sio pazuri kukesha hadi night,lile eneo Lina hatari ya vibaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom