Nyongeza ya mshahara yapanda kati ya shs 10,000 hadi 120,000. Yaani kwa siku imeongezwa shs. 333.33 wafanyakazi hoyeee

Nilikuwa naaikiaga kuwa mkulu hapendi watumishi wa Umma sasa nimeamini kwamba ni kweli wafanyakazi hatupemdwi!
Najiongeza sasa ktk kilimo na ufugaji ili nisomeshe wanangu wasijekufa kwa umaskini wa hawa jamaa!
Aibu tupu serikali hii.
 
TGTS B TSH 10,000 TGTS C TSH 13,000 TGTS D TSH 17,000 TGTS E TSH 19,POP TGTS F TSH 33,000 TGTS G TSH 38,000 TGTS H TSH 60,000 NA TGTS I TSH 120,000 ndo icriments zenyewe zilizopo kwenye payroll
Hakuna kitu hicho au ni kwa wachache mbona wengine hamna nyongeza yoyote kwenye akaunti yangu NMB, KAMA UMEONGEZEWA WEKA USHAHIDI HAPA
 
Kipindi cha jk iliongezeka si chini ya laki kwa mwaka, kama annual increase hii ya awamu hii nimeona hata elfu ishirini haifikii kwa mshahara wangu, very sad kwa kweli, hapa asilimia mia kujikita kwenye ujasiriamali
 
.....wa wanyonge.
Wafanyakazi sitawaangusha.
Najua mnafanya kazi katika mazingira magumj na mishahara yenu haitoshi.

Can't be serious looh!
 
Hakuna kitu hicho au ni kwa wachache mbona wengine hamna nyongeza yoyote kwenye akaunti yangu NMB, KAMA UMEONGEZEWA WEKA USHAHIDI HAPA
Nyongeza ipo mkuu.
Siwezi kuweka hapa taarifa zangu binafsi ila niamini nyongeza ipo ila ndogo mno.

Kama hujaongezewa inamaana wewe mshahara wako umefikia limit yake kwenye salary scale uliyopo.
 
Nyongeza ipo mkuu.
Siwezi kuweka hapa taarifa zangu binafsi ila niamini nyongeza ipo ila ndogo mno.

Kama hujaongezewa inamaana wewe mshahara wako umefikia limit yake kwenye salary scale uliyopo.
kuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limit
 
kuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limit
Ligi siwezi mkuu nimekwambia nyongeza nimeiona ila pesa ndogo around 10,000(mimi binafsi).
Kama huamini basi endelea na mengine.
 
Tija yetu kazini ipo chini sana,tuongeze nguvu mara dufu ili ipande .
 
Kuajiriwa ni sijawai kufikiria ndo maana watu hata wakifukuzwa kazi hawezi kuendesha hata kibanda cha chips tena unakuta Uyo mtu alisoma business Administration Ajira nzuri ni Siasa tu kafulila unaona alivyochanganyikiwa huyo akiwa Mkuu wa mkoa utaskia vijana tujiajiri Upumbavu mtupu Mtu kama Lipumba pamoja na kusoma lakini hata banda la kuuza mkaa ana
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom