Recent content by Salago strepto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa mahitaji ya Containers (20ft&40ft) pitia hapa

    Nafikiria kununua moja na kulitumia kwa kazi ya maabara huku niliko, ili nikihamishwa kikazi nahamanalo
  2. S

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Hizi zinapatikanaje kwa tz na bei za used zipoje ili tupime urefu wa kamba zetu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Hii inanishawishi, hivi TV's na boxer hawana za hivi(ya spring moja)?
  4. S

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour (Tanzania) - itazame hapa bure

    Twashkuru kwa kutushirikisha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

    Tunawapataje hawa kwa sisi wa mikoani hasa Kanda ya ziwa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sasso vs Kroiler

    Nadhani hiyo chanjo ya ndui inaitwa fowl pox na sio flow pox, labda ni typing error
  7. S

    JamiiForums Tanzania South Africa Gospel songs

    Kuna mtu anaitwa Donie McCutney wimbo wake wa I need you Jesus unanibariki sana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kijasusi: Mlio wa Risasi Harusini

    Hii sajenti kufuatwa Kila mahali inanikumbusha ulipo tupo, sijui huwa wanajuaje, tutaelewa baadae
  9. S

    JamiiForums Tanzania "Nasema Asante kwa Mungu Wangu" wa Sarah K ni bonge la worship song

    Daah! Nilidhani huu wimbo kaimba Upendo Nkone, kumbe ni huyu dada Sara K,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Jina langu ni Pheady

    Duu!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Huu ushauri umenifumbua mengi, nimetoka kupigwa mzigo kwa kuingia kichwakichwa kwenye hii biashara bila kuijua kiundani, hii biashara inataka kuijua na kuwa mvumilivu ndio utaona matunda yake
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Kwa kuwa hatujui Nani atatangulia. Labda sasa iwe Kama salamu tu. Mtu akikupa R. I. P, umjibu na kwako pia au kwa mipango ya Mungu. Kifo hakina kanuni nani atangulie, kuna watu wamezika wajukuu,
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

    Hiyo ya pili inanikumbusha movie ya the war bus
Back
Top Bottom