South Africa Gospel songs

South Africa Gospel songs

Check pia nyimbo za Solly Mahlangu, Sipho...., Keep me True wa Jabu, Ttshokwad wa Joyous Celebration na nyingine nyingi za Joyous Celebration
 
Yeah sure! Naomba majina ya DVD nzuri za SDA nizisake...huwa nainjoy pia kuwasikiliza
Kings Ministry- kazi zangu zikiisha
Kurasini SDA - Neema iliyoshuka
Burka SDA - Asubuhi njemaa
Kings Ministry- Mfinyanzi
Mangoni SDA - Nani mtetezi wako
Bugarika SDA - Hakuna Jina
Burka SDA - Gharama ya Ukristo

Mkuu...enjoy yourself.... Wasabato wananibariki saanaa....

Hizo mkuu ni nyimbo na sio majina ya Album....ukiingia You tube utazipataa...au Waptrick...
 
Nashukuru sana! Blessings!
 
Kuna kibao inaitwa Nkosi Ngisimane na mwingine ucywingele zimeimbwa na Mthunzi mitaa fulani ya pale Mbabane... hii kitu huwa nikisikiliza naiona pepo hii hapa...
 
Kuna kibao inaitwa Nkosi Ngisimane na mwingine ucywingele zimeimbwa na Mthunzi mitaa fulani ya pale Mbabane... hii kitu huwa nikisikiliza naiona pepo hii hapa...
I think ninazo kwenye simu yangu zote hzo,sema hapa niko na mambo mengi tu kidogo
 
Watafute Holy cross choir ni wa zamani kidogo na nyimbo yao kama Lizwi
 
Back
Top Bottom