Recent content by Sala

  1. S

    Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

    mahari ya zaidi ya 3M? Huyo baba mkwe ndo alitaka ivo au wao ndo wameamua kumpa hivyo?
  2. S

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    wazo zuri sana ntakupataje? Au ni email plz (rnoel1984@gmail.com)
  3. S

    Tbc

    Naskitika sana television ya Taifa TBC kwenye dstv mara mnapotea mara mnarudi nashindwa kuelewa kweli mmejipanga kurusha matangazo yenu kimataifa ama bado mpo kwenye majaribio? Kasheshe ni pale wakati wa usomwaji wa taarifa za habari. Clips mmezirekodi siku hiyohiyo lakini zinagoma kucheza ina...
  4. S

    Wauza filamu za ngono kwenye foleni jijini Dar es Salaam

    Sio ubungo tuu, pita barabara ya airpot pale TAZARA utashangaa utakacholetewa dirishani mwa gari yako kama uko peke yako. Mimi nikiwa shahidi niliwahi letewa kwenye kioo cha gari yangu tena akaniambia eti ni ya kiswahili kacheza Ray C dah
  5. S

    Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

    Aiseeee umenifurahisha sana sikuwa nafahamu hilo
  6. S

    Freelance/commission based sales persons

    naomba kupata maelezo zaidi na jinsi ntakavyoweza kuwapata kupitia email yangu ya rnoel1984@gmail.com
  7. S

    Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

    ningependa kujua kwa undani zaidi tafadhali kuhusu kampuni yako niandikie kwenye e-mail yangu ya rnoel1984@gmail.com
  8. S

    Tutazuia Sensa mahakamani na kwa maandamano ya amani - Sheikh Ponda Issa Ponda

    Mimi nashindwa kuelewa kwakweli... Jamani watanzania wenzangu tupo nyuma sana kwa mambo mengi hebu tujenge taifa letu kimeo japo liwe zuri kidogo tuna mambo mengi haya ambo ya migomo migomo hayatotusaidia lolote.. Haya ni mawazo maskini kwa mtazamo wangu na fikra pevu ni kuwaza jinsi...
  9. S

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    afya ni jambo la msingi sana lakini kwa maisha ya sasa bila chapaa afya yako haina maana ndo maana wengi wameamua kujikita zaidi katika kazi kiliko mambo mengine kabisa
  10. S

    Riz-one umesikia yalomkuta Andrew Banda?

    Duh nimeshindwa toa comment wandugu nyie endeleeni tuu
  11. S

    Meli ya kivita Tz kunani?

    Dah ndugu hebu tutapata habari zaidi
  12. S

    Cuf taabani

    Hahahaha Holly Marry. Yaani watu matumbo yanawawaka moto
  13. S

    Naomba kujua

    Hivi kuna mazoezi ya uume? I mean unaufanyia mazoezi ila unapokuwa ktk mapenzi sio ndani ya dk 2 umemaliza. Kwa mtu mwenye tatizo kama hilo mnamshaurije?
  14. S

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    hilo nalo swali kaka ila tuone utendaji kazi utakuwaje
Back
Top Bottom